Wanawake kwisha habari yao

Wanawake kwisha habari yao

Hauendani kivipi Mkuu? Hujui maudhuo yaliyomo ndani ya unabii huo nikufafanulie. Tafsiri ni kuwa siku zinakuja wanawake wengi(Isaya ameona aweke 7) Watakosa wanaume wa kuwaoa. Itafikia kipindi mwanamke atajitongozesha kwa mwanaume huku akisema atajihudumia mwenyewe, iwe chakula, mavazi, na matumizi mengine. Tena wengine itafikia hatua atajua kabisa fulani anamke lakini hatajali atakachojali ni kuwa na mwanaume. Hii mbona tayari ipo sana mjini.

Sasa wapi unabii hauendani na wakati.
Labda upo sahihi lakini ni choice tu ya mtu. Ukiona mtu amejiweka kutotaka ndoa basi ujue kuwa hataki sio wa kuolewa huyo.
Na pia si kila mwanamke ni wa kuolewa..wengine wapo kwaajili ya matumizi mengine. So usilazimishe aolewe jua kuwa hana huo mwelekeo. So tafuta mwenye muelekeo huo umuoe usilazimishe jinsi unavyotaka wewe iwe.
 
Mkuu hapo sio choice, hapo ni ishu ya unabii utimie hakuna namna. Unaweza kujidai upo kwenye choice kumbe ni kutekeleza unabii. So unaweza kukubali au kukataa. Time ikifika utaelewa.
 
Kuhusu kutulia usitie shaka hata chembe. Kukupenda nako nitajitajifunza . Ila zaidi ya yote nitakutii!😘

Daahah! Maneno ya kheri haya. Jamaa ashindwe sasa
 
Hawezi elewa kwa muda huu ila kwa macho ya kawaida ya kinachoendelea duniani hata mbuzi hashindwi kuelewa jambo hili
Kweli mkuu maana majuzi tu hapo uganda mzee.mmoja hivi kafunga ndoa na wanawake 3 kwasiku moja, wanamuuliza sababu ya kufanya ivyo anasema wanawake wamekuwa wengi ivyo anasaidia kuwapunguza
 
Back
Top Bottom