kwa kwl maana dunia ya sasasKama una mdogo wako wa kike chonde chonde mkazanie apate elimu ya uhakika. Huko mbele ni kisanga
Pole wewe unae lalamika. Endana na mabadiliko
kwa kwl maana dunia ya sasas
Wapi na lalamika Mkuu. Naona hujui hata ulichokoment. Unajua maana ya malalamiko? Nimetoa andiko na kulihusisha na ulimwengu tulio nao. Kama unaakili utajua hatua za kufuata ili uendane na unabii huo. Vinginevyo nakuona kama mhanga
we niahidi tu kama utatulia na kama utanipenda vilivyobaki niachie mimiHuh! Huh! Nimpe nini Mungu wangu mie. Nashukuru kwa kukubali kunisitiri
Ha haaa eti muhanga. Tatizo la unabii wako hauendani na wakati uliopo