Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,034
Kuonja sunah-rich mavokoMara nyingi mnachepuka
Kuonja sunah-rich mavokoMara nyingi mnachepuka
No hiyo situation inanikuta sana ni kutokana na mtu kumkamata na michepuko ,then hata akitoka utajua tu kaenda huko,hii kitu inanisumbua sana i wish unabaki bachr for ua whole life,michepuko jamani inapunguza amani,upendo,hisia ya mapenzi ndani inakuwa hakuna kabisa ,that is real
Kuonja sunah-rich mavoko
Atachezea bakora za mgongo tehMbona unaigilizia aisee? Au nimuite Ticha Evelyn Salt?
No hiyo situation inanikuta sana ni kutokana na mtu kumkamata na michepuko ,then hata akitoka utajua tu kaenda huko,hii kitu inanisumbua sana i wish unabaki bachr for ua whole life,michepuko jamani inapunguza amani,upendo,hisia ya mapenzi ndani inakuwa hakuna kabisa ,that is real
Ndio......
Bhabha bhoke hayi maambo hayaji hivi hivi mura kuna jhambo hapo tata mura rabda arikubhamba mara moja na imekaa akilini mwake hakuna kitu kinauma kwenye mahusiano kama kuchepukwa na ukagundua Mungu atusaidie both wanaume na wanawake Molembe
nyie mmetuliA?Hamjatulia ndo maana
[emoji28] [emoji28] sasa apo si tit for tat...ukiona ivo kaona na ww mumewe hujatulia au pia kwnye CMU yko una number za madem...kwa nn na yy asitoe[emoji23]Mke wa MTU, lakini akiombwa no ya simu na lijamaa anampa, tena ya ukweli; huyu mwanamke anamtakia mema mumewe!?