Wanawake kwanini mnakuwa hivi?

aende polisi,,, anaripoti kuibiwa docs......hizo pkpk na gari si vipo?
 
Anatania bhanaa

Nifungulie Mlango wa PM basi babe, nataka nije nikupe hi please....
Ila cute babe na ww kwa kubana Hujambo.

Nimekumiss misss hadi nahisi utumbo unataka kuganda tumboni.
 
Last edited by a moderator:
aende polisi,,, anaripoti kuibiwa docs......hizo pkpk na gari si vipo?

Ya vipo mkuu, nitamtafuta nimpe ushauri mlonipa mkuu thanks alot.

Mi nililichkulia kama family problem sikufkiria kumshauri kwenda polisi.
 
Kuna wakati mwingine mtu anaweza kuanza kuhamisha kitu kimoja kimoja,ambapo kitu cha mwisho kuhamishwa Ni ROHO kutoka katika mwili na kupelekwa zinapotakiwa baada ya happ mdada anabaki na kazi moja tu JUICE KWA MRIJA huku kakunja NNE.Kisha anatafuta na bwana atakae Kuwait under control
 
hapo kisheria kama kweli ni za kweli aende polisi akapewe loss report then aende sehemu husika waziprocess upya akishafanya hivyo huyo dada hizo document hazitakuwa na maana tena na akija kuzitoa baadae zitakuwa invalid na ni kosa kisheria la jinai.
pia huyo kaka utamwachaje mtalaka ndani mtu kaja kuomba kuochana unamuacha ndani akikuwekea vitu sivyo itakuwaje, pia sioni haja ya hao wazee yeye anatakiwa akazireport ili zisifanye kazi
 

Hivyo vitu ni vya wote sio mmoja wapo, ukute alitaka kuviuza bila idhini ya mkewe na mke kaamua kuvihifadhi, anahangaika nini wakati kama vimeandikwa jina lake na mkewe mmoja wapo hawezi kuuza?
 
Hujanielewa niseme sijui una-jokes..... Namaanisha hizi tabia za kuficha documents za waume zenu.

Mume ana documents mkewe hana, ni Mali ya mume pekee? Ndo maana mnaibiwa, poleni, na Ndo maana siamini mtoto wa mtu! Wanamume mnataka wanawake wawe too perfect ili mridhike lkn hamjui jinsi ya kuishi na hao kina mama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…