DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,974
Yes mkuu nilimshauri hivyo pia ila ushauri wangu mwingine ulibezi kwenye kukaa vikao kwani kwa namna yeyote ile itakuwa mke ndo kachukua
Kikubwa nilichoelewa ni kwamba una gari..
Japo hujui la aina gani....
Ishhh sawa kwani na sie wengine tumeficha documents???
Ohooo cute b mwingine huyu....! please kuwa makini my dada....Au kama vp ni PM kwa maelekezo zaidi.
We si ulisema unatongozwa na madem mkuu!
Tuachie watongozaji na sisi tuahangaike kivyetu, maana hatuna bahati ya kutongozwa.
cute b nimeku-miss.
Ha ha ha.... mi nitakuwa makin sidanganyiki... Raimundo i looking for you..chezea kingreza wew
Najiuliza wazee wazamani walikua wanauliza wapi majanga ka haya? Make bandle hazikuwepo wala cha jf.
Bado sijajua ni aina gani ila nimejua pia anajua ku drive na anakazi..
inanishangaza hii habari ya Kizzy Wizzy, natamani nikuone, sijui kama tumeshahi kupishana sehemu...... Raimundo huyu mtu simjui hebu muulize ananitafutia nini....? cute b wajua nilivyo...