Wanawake kwa Wanaume

Kwa kweli kila mtu ana sifa anazotaka kwa mkewe.Mfano mimi alinikuta surual na vimini navaa hakuwai nkataza mpaka leo.Kutoka out tunatoka kawaida mara moja moja sio mbaya(sio wale wa kila w'end).Nguo nlokatazwa kuvaa ni hizi skintight na top.
Sasa huyo wako kama unahisi unampenda sana na ivo anavotaka uache kuvaa unaweza kuacha just for love do it.Kama huwezi surely naona dalili za kuja kusumbuana baadae.Na kwanini utake vitu flani msitoke kwenda kuvila akuletee jamani?huu nao mtihani ati.
 
pindi uingiapo kwenye ndoa lazima kiwango fulani cha uhuru kitapungua iwe kwa mme au mke,lakini ni kwa nia njema tu ya kujenga,kwa hivyo ni vizuri kuwa optimistic.
 
pindi uingiapo kwenye ndoa lazima kiwango fulani cha uhuru kitapungua iwe kwa mme au mke,lakini ni kwa nia njema tu ya kujenga,kwa hivyo ni vizuri kuwa optimistic.
Sawa sasa ntafanyeje inabidi tu
 
Sawa japo mi sina tamaa wala khakhaa who knows!
 
Yah ndio ukue sasa kwani hujamaliza tu.

Hiyo ndio maana ya kwenda kuishi chini ya himaya ya mtu.utatii anachokwambia ilimrafi sio dhambi.hutaki endelea kula bata achia njia.


Mi menyewe nimemsomea katiba mpya kanuna huyo lakini ndio hivyo sasa mi si ndio mwenye mbuzi.ukivaa vimini vyako huku sivitaki ueleze unamvalia nani anayevitaka.
 
Bibie itabidi uzoee tuu wengine wanapenda mwanamke aliye simple.. ss hv jizoeshe kushinda na khanga,Madera,sketi na blauzi
 
"Common sense is a flower that doesn't grow in everyone's garden" - mahondaw
 
Uandishi huu!kweli were Badoo.jipangee
 
mahondaw za siku?
Yote hayo ni mapambo, wakati wa ndoa ukifika umefika. Kanuni na vigezo na masharti hupotea, na maisha hufuata mkondo wake
^^
 
mwanamke au mwanaume unatakiwa umpate mwenye hofu ya mungu, bila hivyo utalia kila siku Ya ndoa yako! SO YOU TO HAVE PRAY , NO SHORTCUT!
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…