Wanawake kwa Wanaume

H
Opinions are not fact Uzuri wake na maoni yako hayabadilishi umri wangu
 
Ukizoea inakuwa poa tu,kama out kutoka na manzi fresh tu mbona bibie.
 
Last edited:
Ni shida tena kubwa...

Teh teh uanze kuvaa madera, nywele ziwe za kisabatoo.. kucha za kiuanafunzi,
Hapo ndoa itatangazwa soooon
Kumbe!!!! lakini madera yana watu wake ujue wengine yaeza kuwa kichekesho
 
Usistaduu na ndoa wapi na wapi? Kama ni ndoa unaitaka itabidi ukubali masharti. Wanawake wenzio wanaiota hiyo nafasi wewe ichezee uone.
Kwani masista duu hawaolewi??
 
Wewe ni nyegemshindo zinakusumbua subiri zikianza kupungua utaona umhimu wa kuolewa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…