KIJANA HPO UMEGUSA PABAYA,MUNGU UMEMUONA WA KUMTANIA NA KUMDHIHAKI NAMNA HIIutaisoma namba!, kama hutaki masharti msubiri Mungu aje akuoe
Usistaduu na ndoa wapi na wapi? Kama ni ndoa unaitaka itabidi ukubali masharti. Wanawake wenzio wanaiota hiyo nafasi wewe ichezee uone.Za mliko?? Mimi sina mengi zaidi ya kuuliza Swali moja tu. Hivi wanawake au mabinti walioko kwenye ndoa au wanaofaa kuolewa wana sifa gani hasa?? Mana mhmmhhmmhhmmhhmmhmhhmhhhhmmhhhmmmmmhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mtu anataka kuoa masharti mganga akasome yani masharti miaaaaaa hakuna hiki hakuna kile kule sijui mavazi sijui nywele kucha rangi nyokko nyokko nyiiiiingiii Khah!!!
Wanawake wa vimini suruali pensi mibato kucha ndefu kupaka rangi kuchoma nywele and the alike eti huwa hawaolewi?? kaushi eti kama Arnold Schwarzenegger heh unaulizwa pambano wapi??? Uvae hivi unaulizwa kuna fasheni shoo??
Limtu lenyewe lihandsome kshenzi Halafu lina chapaa sasa tatizo old model mpaka aibu mambo yakizamaniiiiiii ila linafocus aisee habari za starehe za kijinga jinga sijui out hakunaaa Unataka soda wine chips kuku mazagazaga yeyote sema yataletwa sijui out sahau all in all ni a man of vision afu sio kicheche but hizo shurti Mhmhmhmmhmhmh! Sometimes ndoa ni kama utumwa flani kwakweli.
Aisee ni shida tumahondaw
Tuliza munkari kidogo basi,
Unapotaka kuolewa au kuwa kwenye mahusiano lazima kuna vile huyo bwna anapenda uwe, kuna vitu atakuwa havitaki kwako mfano mzuri katika mavazi, nywele kucha. Kwa hiyo ukipenda boga penda na mti wake lazima upende pia vile yeye anavyotaka uwe.
Hata wewe kuna mambo huyapend kutoka kwake mfano kama hapo ulipo andika your man is old model...hupend na unataman abadilike.
Kama mnapendana kwa dhat na huyo mchumba, ikiwa yeye hapendi uvae kimin kwann uvae? Eeeh
Mahusiano ni masikilizano, kaeni zungumzeni mtaelewana,
Kujishusha pia ni muhimu ili mambo yaende...
Ni shida tena kubwa...Aisee ni shida tu