Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,157
- 166,119
Gavana alikuwa Girman Rutihinda. Yeye Na waziri wa fedha Steven Kibona walikufa kifo cha ajabu sana. Walipelekwa India kutembea kwa lazima, waliporudi wakaanza kuumwa, serikali ikasema ni vyakula hawajavizoea, baada ya muda mfupi wakafa.
Hawa walimgomea mkuu ku print hela