aisee kuna ambao bila kusengenya hawapati usingizi, baadhi ya wanawake tumezidi aisee, na usengenyaji mara nyingi huambatana na wivu, tena mkute mna urafiki wa ki group, ndio balaa kabisaaa, wanawake sisi ni kiboko
umeonaa eeee hata kama hupendi kusengenya itabidi japo uwe unachangiachangia azawaisi wewe ndio utaanza kusengenywa maana watasema unajiona keki
ndo ule msemo unaosema "wanawake hawapendani" unapotumika?
Rafiki upooooooo. Its long time aisiiiii. Naogopa kuchangia nisije kutana na mkwe huku.
umbea hutupa afya!
umbea hutupa cheko
umbea hutupa boonge la smile
umbea ndo msingi wa maendeleo yetu
umbea shurti ujue kuuufanya,kuutafuta,kuusambaza,kuukuza,kuuhuisha!
I LOVE BEING A WOMAN!
nipo mpendwa wangu, wewe ndio umepoteaaa, uko poa? hahaha ukamkuta mkwe nae yupo busy kukaanga majungu, kazi kweli kweli
nipo mpendwa wangu, wewe ndio umepoteaaa, uko poa? hahaha ukamkuta mkwe nae yupo busy kukaanga majungu, kazi kweli kweli
nini tena mama ladyfurahia?hahahahahahahahahahahhahahaahhaahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamani Bujibuji Lol!
umbea hutupa afya!
umbea hutupa cheko
umbea hutupa boonge la smile
umbea ndo msingi wa maendeleo yetu
umbea shurti ujue kuuufanya,kuutafuta,kuusambaza,kuukuza,kuuhuisha!
I LOVE BEING A WOMAN!
nini tena mama ladyfurahia?
mekumithi sweetheart!
Niko poa sana sema kazi zinatubana muda mwingine tunajibana kwa watwana wetu. unajua nina mama na pia mkwe bila kusahau mke wote ni wanawake sasa hapa nitachangia kuwatusi au?
hauwatusi bali tunaongelea hali halisi, hata mama pia anaweza kuwa anayapika majungu vizuri tu, mie mama mkwe wangu alikuwa mashuhuri kwa majungu lakini tulipopeana"seminar" aaah sasa hivi tupo level kabisa, majungu/kusengenya kwa wanawake hiyo ipo kabisa, haina mama/mkwe/mke/dada