mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
Nimepanda daladala,
Imejaa kupita kiasi,
Nimesimama na pembeni yangu yupo mdada,
Kisura anaonekana si haba,
Kidevu kimejaa ndevu,
Ameshika bomba kama mimi,
Amevaa kitopu, mikono juu,
Jasho chepechepe, manyoya kibao, kikwapa tena ndo usiseme.
Kitop kimepanda juu,
G-string njenje, imefubaa hiyo balaa,
Siwezi kuendelea kusimulia!
Nilitamani safari yangu iishe haraka, nilipofika nikashukuru...nikawaachia dhahama hilo washika bomba walioendelea na safari.
Jamani wadada walau kausafi kidogo basi.