Wanawake kuweni wasafi aisee mnatuboa

Wanawake kuweni wasafi aisee mnatuboa

The reverse is true. Mi sisemi uongo siwezi kumpa mwanume mkono inkikumbuka mnavyo shika dushe zenu wakati wakujistili.
Usafi nikwawote regardless
Mwanamke au mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Dushe na papuchi IPI inahitaji usafi zaidi?dushe halina period,papuchi je?papuchi inazalisha uchafu zaidi kuliko dushe,au na wewe ndo walewale?

sent from kanyau
 
Wanawake tunawasakama sana humu jf japo sijafanya utafiti bado naamini wanajitahidi kwa usafi ukilinganisha na wanaume...Kama unatumia usafiri wa umma anza kulinganisha sampuli za harufu kwa kuzingatia jinsia utakuja utueleze hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu unaousema ndio ukweli.

Kwa wanaume ndio sana , japokuwa wanaojipenda wapo ila wengi wana mapungufu kama hana kikwapa basi atanuka mdomo na mengine mengi hakuna aliyekamilika kwa 100%
 
Kwa mtu mzima kama wewe (walau kiumri), unapaswa kuwa umepevuka na sasa aidha umeoa au unajiandaa kuoa.

Tofauti na hapo hizi mada za wadada kunuka hazitoisha. Sasa hivi ulipaswa kuja na mada za kujenga. Sasa hivi ulipaswa kuwa na mpenzi wako mmoja. Habari za wanawake unaopishana nao wakinuka, hujui hali yao mkuu! Pambana na ya kwako ila kwa kuwa ni kiruka njia bado despite your age...endelea!

Na vile ndo hatukupangii cha kupost...ila sitoacha kushauri! Uhuni haulipi mdogo wangu...langu ni hilo tu!
Nani kakwambia muhuni?? Mbona upo nje ya maada aisee!! Kwani umeambiwa kuoa ni lazima uwapo 30's, punguza kukurupuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee upo sahihi kabisa ,Juzi nilimtembelea dada mmoja ambaye nimewasilianae kwa muda mrefu,kifupi nimefika geto kwake na tumekaa tukiangalia movie,yeye alikuwa kavaa jinsi limembana kisawasawa na namna alivyojazia nyuma du ,mashallah.Basi baada ya dk 45 hivi kachojoa jinsi kabaki na taiti ,da harufu iliyotoka hapo sikuwa hata na hamu ya kendelea kukaa ilitakiwa nizugezuge then niage na kuondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 😀

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usafi ni muhimu
Utakuta mwanamke
kasuka sijui kilimanjaro
Hela ametoa za kusuka
Kufumua asikia uchungu
Anafumua sikukuu hadi sikukuu
Ukikutana nae ananuka utadhani upo ferry kwenye matumbo ya samaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada huna akili, heshima na nidhamu,nadhan unaona sana sifa kujibu watu nyodo, ukosefu wa kazi na malezi bora ndo yanakufanya uropoke unavyojisikia! Jaribu kuwa na heshima japo kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom