LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
Naweza kusema ni ukosefu wa busara umetawala sana humu JF mtu akiamua tu kuanzisha Thread za ufharirishaji kwa kundi kubwa la watu hata ambao hajawahi kukutanana nao anaanzisha na Kuwajumuisha kua ni wachafu,Malaya n.k
Hivi kwanini tusijikite katika kuanzisha nyuzi mbali mbali za kutiana moyo,kuhamasishana,kuonyeshana mifano mema na kukosoa ile mibaya,kufarijiana na hata soga tu zenye kuchekesha badala ya matusi yasiyo na tija! Haya huyu katutukana wanawake lakini majibu yake atayapata toka kwa wadada walioubeba udhaifu wake na kutaka kumlipiza kwa matusi yake!
Jamani tubadilike njoo uulize tiba ya tatizo lililomsibu mwenzi wako badala ya kuja kutukana watu ambao hata uzaliwe Mara ya pili upepo wao hutoufikia
Sent using Jamii Forums mobile app