moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,043
- 16,888
huyu mtoto amechefua kupita maelezo, nilitaka nisiandike chochote humu ila anavyowajibu watu vibaya wanaomrebisha napata hasira sanaSibishani na wapumbavu wasio na fikra,unaposema wanawake wananuka means hata mamako ni mwanamke je nae ananuka? Utafurahi ukisikia mwanaume mwingine akisema mamako ana nuka? Hebu kua na adabu japo kidogo basi maana hao uliokutana nao wakawa wananuka ni sehemu ndogo tu ya wanawake wote Duniani lakini ulichokiandika hapa ni kama vile wote umetufunua ukatukuta tunanuka. Kua na heshima ndugu yangu kama ulikua na lengo la kumsaidia huyo anayenuka ungekuja kutafuta tiba badala ya kuja kututukana wote! Alafu ulichokiandika si kigeni kimeandikwa sana humu JF hivyo kina dhihirisha namna JF ilivyovamiwa na waliokosa upeo wa fikra mbadala
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app