salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Mkuu Id yako tu inajieleza kua ni mzee wa ma SALT SALT.. bt kwa nyapu zile huwezi kijana maana hakuna utofauti na vyoo vya hostel (ref. Kipindi hicho cha form 1, kupigishwa simu chooni)
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio mkuu..Mimi ni seaman mzuri tu..naiona avatar hapo nahisi uvundo wao umekuganda puani ndio maana wapost huku bado umeziba pua duuh hatariiiSent using Jamii Forums mobile app