Wanawake kuweni waaminifu

Wanawake kuweni waaminifu

Sky zone

Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
93
Reaction score
91
Kwa siku hizi mbili ya 09-11/12/2017, tupo Dodoma kwenye mkutano, kwenye kundi langu (la mkoa wangu) nipo na wanawake sita ambao ni wake za watu wote kumi wana ndoa za watu.

Nimeshtushwa kuwaona wamefika Dodoma na kuolewa hovyo tena na zaidi ya waume watatu kila mmoja. Wanaliwa kama ugali. Masikini ya Mungu nawaona wanawake wakilegezwa hovyo na vijana.

Ndani ya kundi langu nimechunguza wanaume wote kila mmoja alimuagiza mkewe aje na gari lingine ila ajitulize kwake. Na kila mmoja alinipa taarifa kuwa mke wangu anakuja so room zao ziwe na acomodation za kutosha.

Wanawake wale wanaliwa na watu wasiowajua. Yaani tukitoka kwenye mkutano wameshapatana na mtu so hata gari yetu hawapandi tena. Wanawake hawana tena hekima. Wanawake mna nini?
 
Hiki kizazi kina laana si bure,binafsi hapa nilipo naugulia maumivu makali ya mke wangu.Mbaya zaidi ye anajifanya swala tano kumanina zake
D
Hiki kizazi kina laana si bure,binafsi hapa nilipo naugulia maumivu makali ya mke wangu.Mbaya zaidi ye anajifanya swala tano kumanina zake
Duh,anzisha thread mkuu ili tupate experience ya mbinu wazitumiazo hao swala tano..
 
Mkuu ye yupo kozi sehemu flani,kozi ambayo itamchukuwa miezi minne.Sasa nikaanza kuona mabadiliko ya zarau nyingi.niliamua kumfuatilia kupitia simu yake,nilichokutana nacho Mungu mwenyewe ndiyo anajuwa.Namsubiri amalize tu.
Pole sana mkuu....
 
Hiki kizazi kina laana si bure,binafsi hapa nilipo naugulia maumivu makali ya mke wangu.Mbaya zaidi ye anajifanya swala tano kumanina zake
hahahhaha kuna mtu 1 nae kashika dini kwelii nikajiweke siku ya game nikaondoka na gono alafu namwambia twende hosp. anasema nimelitoa kwingine wakati najua kabisa game ni kwake tu. muache limuozee.
 
Baba wanasema jike alikiwa anatongozwa mwaka. Siku hizi sekunde tatu. Wansitwa vodafasta.
 
Hiki kizazi kina laana si bure,binafsi hapa nilipo naugulia maumivu makali ya mke wangu.Mbaya zaidi ye anajifanya swala tano kumanina zake
Hao wanaojifanya swala tano ni WAHUNI SANA wa kisirisiri tena angalia si bure ameshafanywa hata kinyume na maumbile.

Hatari sana hao.
 
Back
Top Bottom