matapeli kweli wapo,lakini `fact will remain`beware, siku hizi kuna matapeli.
uko sawa sister,wako waliobakwa.......lakini hao ni sehemu ndogo sana ya wanawake ninaowazungumzia.na mimi ninachosema ni kwamba ni kwa nini wanaume msichukue tahadhari kama
tayari mnayajua hayo? Kwa nini umtese mtoto wa mtu kama unajua hutatunza?
Sikia bana tukiendelea kurushiana mpira hapa hatutafika mbali. Yes ni jukumu la wanawake
kujinginga na mimba ambazo hazijapangwa pamoja na magonjwa ya zinaa na pia na tena nasisitiza
ni jukumu la mwanaume kujinga pia.
Na ndio maana huwa napenda kusema .
Condom ibebwe na msichana pamoja na kijana.
Maana tukisema tusifanye mapenzi mmmmmmhhh nikudanganyana huko.
Oohh kitu kingine.
Kuna wanawake wengine hawakupata mimba sababu ya starehe.
Fikiria kuhusu walio bakwa.
Kwa hiyo usitupe lawama kwa kila mwanamke anaeomba msaada.
sidhani kama nimewapaka wanawake,ninawaonea huruma kwa sababu wanabeba mzigo unaotokana na uzembe wa mwanamme na mwanamke.kwa hiyo wewe kaka huwezi kumtambua mtu mwema?if so basi una tatizo.
kuna siku nilikuwa tabora kwenye stesheni ya treni,kwa kawaida treni ikifika tabora`enzi zile`ilikuwa inagawanyishwa ili kipande kimoja kiende kigoma na kingine mwanza..........kwa muda huo wa masaa kama mawili huwezi amini kuna dada mmoja ambaye alikuwa anasafiri alirubuniwa na mtu pale tabora na akakubali kutoka naye.........ni kweli watu huwa wanaficha makucha,basi mjue mtu angalau kwa mwaka,akikukimbia tutajua tatizo sio wewe.life is not that simple... Katika ulimwengu wa leo tunakutana na watu hata hatujui backgrounds zao wala wao zetu. Unaingia katika mahusiano nakuwa pamoja hata a year.. Siku yakifumuka unagundua huyo mtu ni total stranger! Hata jina sio lake...
uko sawa sister,wako waliobakwa.......lakini hao ni sehemu ndogo sana ya wanawake ninaowazungumzia.
Labda hasira zinanipanda kwa sababu kuna mtoto wa kaka yangu naye kafanya ujinga huo huo........kapewa mimba halafu hata hajui hatima yake.
Na mimi ninachosema ni kwamba ni kwa nini wanaume msichukue tahadhari kama
tayari mnayajua hayo? Kwa nini umtese mtoto wa mtu kama unajua hutatunza?
sikia bana tukiendelea kurushiana mpira hapa hatutafika mbali. Yes ni jukumu la wanawake
kujinginga na mimba ambazo hazijapangwa pamoja na magonjwa ya zinaa na pia na tena nasisitiza
Ni jukumu la mwanaume kujinga pia.
Na ndio maana huwa napenda kusema .
Condom ibebwe na msichana pamoja na kijana.
Maana tukisema tusifanye mapenzi mmmmmmhhh nikudanganyana huko.
oohh Kitu kingine.
Kuna wanawake wengine hawakupata mimba sababu ya starehe.
Fikiria kuhusu walio Bakwa.
Kwa hiyo usitupe lawama kwa kila mwanamke anaeomba msaada.
Life is not that simple... Katika ulimwengu wa leo tunakutana na watu hata hatujui backgrounds zao wala wao zetu. Unaingia katika mahusiano nakuwa pamoja hata a year.. Siku yakifumuka unagundua huyo mtu ni total stranger! Hata jina sio lake...
Jana katika pitapita zangu nilikutana na mwanamke aliyebeba mtoto mgongoni akiomba msaada kwa wasamaria wema ili mtoto wake akatibiwe malaria.yule mama alikuwa akilalamika kuwa mtoto wake pamoja na yeye hawakula toka jana,baba wa mtoto kamkimbia.nilipojaribu kumdadisi zaidi nikagundua kuwa yule mama hajui hata nyumbani kwa mzazi mwenzie..........mara nyingi pia nimeshuhudia ombaomba wakiomba msaada barabarani,lakini cha kushangaza ni kuwa unaweza kukuta mama anayeomba msaada barabarani ana watoto watatu wadogo.sasa unajiuliza hivi kweli mtu huyo yuko `responsible`?kwani ,kwa mfano unapofikiria kuzaa usifikirie pia jinsi ya kulea watoto wako?nani anapaswa kukulelea watoto wako?unaweza kukuta huyo msamaria mwema unayemuomba msaada yeye ana mtoto mmoja sio kwa kupenda ila ugumu wa maisha.kwa nini mnajirahisi hivi?
Starehe ya maskini ni moja tu.....
ndo maana unakuta mtu ni ombaomba analala road na ana msululu wa watoto, so sad!!!!!!!
starehe yetu kugegedana tuuu
Starehe ya maskini ni moja tu.....
ndo maana unakuta mtu ni ombaomba analala road na ana msululu wa watoto, so sad!!!!!!!
mbona babu zetu walijua,kwamba uelewa wa binadamu unapungua kadri miaka inavyokwenda?tusiwalaumu, pengine hawajui chochote kuhusu uzazi wa mpango.