Wanawake kuweni makini na huyu mshkaji.

Wanawake kuweni makini na huyu mshkaji.

Ni braza meni mmoja matata sana ana minato ya kimamtoni uswazi flani hivi.anashinda sana insta na facebook na mapicha picha kibao ya maeneo makali.

Anachofanya.

Anatengeneza urafiki na mdada mkali.anakuwa na urafiki kiasi mdada haoni shida kuonana naye.wakionana anaangalia aina ya simu aliyo nayo bidada.

Kama ni simu ya maana basi mapenzi yanaongezeka na anajenga uaminifu.anamtoa bidada out na siku anaenda naye sehemu kwa miadi ya kulala naye.jamaa anakaa magomeni ila atamwambia bi dada ana kaa sinza au tabata.

Siku ya tukio anampeleka mdada anamnywesha sana.wakienda kulala lodge ambayo jamaa anafahamika kwa issues hizo.anawasiliana na mtu wake.

Usiku hafundi mlango na ukichukulia bi dada naye bwimbwi....wakilala usiku jamaa anakucha kubeba kila kitu.simu ya jamaa na bidada.nguo ,pochi,wallet n.k

Wakiamka asubuhi wote wanalalamika kuibiwa.but jamaa anajua kuwa ataenda vikuta home kwa mwenzie wagawane na kuuza vinavyofaa kuuzwa.

Inasemekana wana mtaalamu ambaye anajua kucheza na IMEI za simu. Haipatikani tena hiyo simu.dada zangu kuweni makini hata JF anaweza kuwepo jamaa.
Mwenye masikio na asikie
 
Wale wapenda , wanaume wa hovyo muda mchache umeshagawa papuchi .....unaliwa na simu na pochi inaenda .....tupunguze ushamba na kuwashobokea wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mtaani kwetu yalishatokea kila uchao watu wanakabwa au kutapeliwa pesa kila wakitoka Guest na unakuta walikabidhi kaunta.Tulichofanya tulianza na wafanyakazi mwisho mwenye Guest,LILIISHA
Hizo guest za jamaa Tabata sijui Mbezi wafe na wahudumu wanaokubali jamaa apangishe.
 
Back
Top Bottom