Wanawake kuweni makini na huyu mshkaji.

Wanawake kuweni makini na huyu mshkaji.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,180
Reaction score
22,805
Ni braza meni mmoja matata sana ana minato ya kimamtoni uswazi flani hivi.anashinda sana insta na facebook na mapicha picha kibao ya maeneo makali.

Anachofanya.

Anatengeneza urafiki na mdada mkali.anakuwa na urafiki kiasi mdada haoni shida kuonana naye.wakionana anaangalia aina ya simu aliyo nayo bidada.

Kama ni simu ya maana basi mapenzi yanaongezeka na anajenga uaminifu.anamtoa bidada out na siku anaenda naye sehemu kwa miadi ya kulala naye.jamaa anakaa magomeni ila atamwambia bi dada ana kaa sinza au tabata.

Siku ya tukio anampeleka mdada anamnywesha sana.wakienda kulala lodge ambayo jamaa anafahamika kwa issues hizo.anawasiliana na mtu wake.

Usiku hafundi mlango na ukichukulia bi dada naye bwimbwi....wakilala usiku jamaa anakucha kubeba kila kitu.simu ya jamaa na bidada.nguo ,pochi,wallet n.k

Wakiamka asubuhi wote wanalalamika kuibiwa.but jamaa anajua kuwa ataenda vikuta home kwa mwenzie wagawane na kuuza vinavyofaa kuuzwa.

Inasemekana wana mtaalamu ambaye anajua kucheza na IMEI za simu. Haipatikani tena hiyo simu.dada zangu kuweni makini hata JF anaweza kuwepo jamaa.
 
Asifuye mvua imemnyea. Pole sana kwa kumpenda brazameni na kukuliza mkuu.
 
Na wanawake wanapenda mteremko unaliwa mpk jicho halafu na simu inaemda ila bongo watu wanaakili sana

sent from toyota Allex
 
kweli hawana Akili Ila mbona hii game ya kitoto au ndiyo fictional story


lete picha
 
IMG_20200131_134515_720.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom