falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,227
- 9,356
Mweeeh!
mweeeh ya kibao kata au? lol
Bao la kete
nina mashaka upo kwa kibao kata sai
mageni haya mtaani kwetu...
W/end leo ujue...
W/end leo ujue...
Kinachoniacha hoi vijana wengi wadogo hadi 14yo wanajihusisha na ushoga. Vijana wengi wanaojihusisha na modeling na fashooooon ni mashoga.
Ushoga unashika kasi kubwa sana hapa Tanzania, miaka michache ijayo tutakua na idadi kubwa sana ya vijana mashoga.
Mbaya zaidi wana websites na blog zao ziko active kabisa kuwasapoti na kuwaunganisha pamoja sijui TCRA wanafanya nini.

mi avatar yako tu jaman...
uko sawa sana mkuu,hawa madogo wa under 18 wengi wanapigwa sana dudukila kwakuwa wanapenda ubishoo na hawajui kutafuta pesa,wenyewe wanajiita mabottom na top,mi nawafahamu wengi wanaappear katika video za bongofleva ni vibwabwa
Kizazi cha nyoka... Mungu atusaidie na wazazi pia wananafasi kubwa kuwajenga watoto katika njia iwapasayo ili kupunguza kama sio kuondoa kabisa wimbi hili....
Sure, ni kuomba Mungu tu, mimi niliwahi kufanya utafiti kuhusu hao vijana nikaja kugundua ni kundi kubwa sana la vijana wanajihusisha na haya mambo,wengi ni mahotelia,watu wa mitindo,wajenga misuli, wanafunzi hadi wa shule za msingi,wateja wao ni watu wanaoheshimika katika jamii na viongozi wa kisiasa. Hataei sana hii.