The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,396
- 9,264
Asalaam,
Nimekuwa nikisikia wanawake wengi wanasema kuolewa ni bahati tu, naomba nitofautiane na nyie kuolewa sio bahati ni lazima uolewe ila kutokana na matendo yenu ndio mnasema ni bahati.
Umeshapita umri wa miaka 24 kila mwanaume atakayekutongoza na kusema anataka kukuoa unasema hauko tayari kuolewa au bado hujampata unayemtaka wewe. Kila anayekutongoza unamkataa tayari hapa kuolewa sio bahati ila hujataka wewe kuolewa.
Ila majuto yanaanza pale namba ya hatari yaani umefikisha miaka 30 na ndio unaanza eti kusali eti upate Mungu akupe mume na wakati walikuja ukawakataa. Tuache Mungu ashughulike na mengine na sio kukutafutia wewe mume na wakati aliwaleta ukawakataa.
Kama unataka mume mwenye vigezo vyako utatafuta mpaka unazeeka.
UKIITWA ITIKA.