Wanawake: Kunawa sio kujisafisha

Wanawake: Kunawa sio kujisafisha

Yani sina cha kumwambia zaidi ya hicho, kiukweli sikutegemea mtu kushauri watu vitu ambavyo yeye mwenyewe havijui
Dadaaangu mimi ni Mtalaam kwenye hiyo fani
 
Msitupotoshe nilisikia kwa masikio yangu ... Huku chini hakuhitaji kusumbuliwa na misabuni sijui vidole midalasini wala milimao yako unayosema yaani niue walinzi wa ukeni nikufurahishe wewe afu baadae mimi nikiwa nalia utanisaidia kwa lipi ukute hata ndoa huna mpango afu unaleta tamaa zako za utamu wa siku kadha afu mimi kilio cha miaka na miaka..... Kwangu hakunaga hutaki mvuto wa asili sepa zako tusiharibiane maisha.
Usinuke tu mpenzi
 
Mbona umejibu kwa hasira sana?
 
Katabia ka dada zetu kunuka uchi kanaboa na kukata stimu zote na mwisho kuonekana hatuwezi mchezo.
Wewe mdada jifunze kujisafisha mpaka ndani, chuchumaa ingiza vidole mpaka ndani kabisa chokonoa safisha kabisa hiyo malighafi tumia sabuni laini maji ya moto yaliyowekwa ndimu kidogo mdalasini na karafuu.

Mashine kavu tight inayonukia ni kichocheo kikubwa cha ashki...lakini pia ni ulinzi na afya kwa mdomo na ulimi wa mwenza wako. Msijisahau na outside makeups kumbe ndani mmefutika uvundo. Mtakimbiwa kila wakati.
Nan kakudanganya kua sabun ni lazma itumike kusafishia?? Kaulize vizur
 
3c3891c2ae2aa637a7c74af85476397d.jpg
f12e0edf7416059ae22efffad8e043f2.jpg
 
Nan kakudanganya kua sabun ni lazma itumike kusafishia?? Kaulize vizur
HAHAHA HIVI HUWA ZINANUKAJE SIJUI ILA INAELEKEA NI HATARI SANA MTU MPAKA ASHAWISHIKE KUWEKA NDIMU MDALASINI HAHAHA NDIMU MDOMONI CHUKGU KWENYE PAPUCHE UNAANZAJE KUIKAMULIA KAMA KACHUMBARI KHAAAAAAAAAAAA
 
Hahaa huko ni kujitafutia magonjwa nyie ndio mnaofanya baadhi ya wanawake kutwa kuhangaika kutafuta vya kuweka uken duh pole yaoo mwanamke anaye jiamin cku zote haungi nyapu bali atajikubali na kwa kile alichonacho
 
Msitupotoshe nilisikia kwa masikio yangu ... Huku chini hakuhitaji kusumbuliwa na misabuni sijui vidole midalasini wala milimao yako unayosema yaani niue walinzi wa ukeni nikufurahishe wewe afu baadae mimi nikiwa nalia utanisaidia kwa lipi ukute hata ndoa huna mpango afu unaleta tamaa zako za utamu wa siku kadha afu mimi kilio cha miaka na miaka..... Kwangu hakunaga hutaki mvuto wa asili sepa zako tusiharibiane maisha.
Yaonesha wwe uko chini kuna jalala
 
Uko sawa kabisa ukeni hakupaswi kuingizwa vidole wala hakutakiwi sabuni zenye cemiko eti anasema chokonoa achokonoe yeye atie hiyo milimao yeye hfu mwisho wa cku ataisoma number hana lijualo tucdanganyike!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom