Wanawake kujilinganisha na wanaume ni sign ya low self esteem

royna

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
479
Reaction score
336
Self esteem ni hali ya kisaikolojia inayomuonyesha mtu jinsi gani anavyojitambua na kujikubali. Mtu mwenye self esteem ya juu, anakuwa ni mtu jasiri, anayejikubali, anajitambua, anajiamini na hana shida na alivyoumbwa. Kuwa mfupi au mrefu, mweusi au mweupe, maskini au tajiri, mwanaume au mwanamke, si kitu kinaweza kumsumbua mtu yeyote ambaye self esteem yake iko vizuri. Unapoona una shida ya kujikubali au umbo lako, au jinsia yako au hali yako ya maisha ujue shida si hicho unachokiona bali shida iko ndani yako. Ndio maana unaona kuna matajiri wengi tu unaona hawajikubali wala kuridhika, wakati kuna mtu ana bajaj tu na anaenjoy maisha yake. Utaona kuna mtu ana nafasi yake kubwa tu kiajira, au kwenye siasa lakini hajawahi kuridhika. Mtu mwenye shida hii hata kumpa kutawala dunia ataona kuwa bado kuna kitu hakiko sawa. Ni kwa maelezo hayo naomba niwaambie wananwake wenzangu ukiona kila mara, unapenda kujilinganisha na kaka zako, au mume wako, na kuona kuna kitu kinapungua hata ungeumbwa mwanaume ungetamani uwe mwanamke.

My Take
Jifunze kujikubali ulivyo, na kujifurahia kutoka ndani ya nafsi yako, jifunze kuridhika na ulicho nacho kwa sasa(materials) ukiendelea kuongezea kidogo kidogo, na usijali sana mtazamo wa dunia juu yako, maana kuridhika kwa ukweli kunaanzia wewe mwenyewe unavyojiona.
 
Haya jiwe limerushwa gizani, tusikilize atakayesema Uwiii, jua limempata.
 
Yani wala sijakuelewa
 
Hebu fafanua hapo kujilinganisha na kaka na mume kwnye nini? Mavazi, akili, wajibu, au kutamani jinsia ya kiume au nini? Seriously cjakupata shorii!
 
Uwiiiiii..... Jamani mie najipenda na kujikubali ajabu... Huwa namshukuru Mwenyezi Mungu kwa uumbaji wake. Sipendi kujitoa kasoro hata kama naona kuna kitu kimepungua ama hakiko sawa!!!!! Najikubali kwa jinsi nilivyoumbwa baaaaaaaaaaaaaaaaasi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mie nahisi ungeongelea both sides tu,unlike what the heading states........,

halafu unavyosema kujilinganisha na kaka zetu,waume zetu kiaje!!!!!!!!

mlengo wako ulikuwa mahala gani!!!!!!!!!!!!
 
Binafsi najikubali sana niko juu kuliko hata mwanaume
awaye yote kwa hii dunia
 
napenda hivi nilivyo napenda uanamke wangu. Na kama kuna kitu ambacho huwa namwomba Mungu aniwezeshe ni kujifunza kumtii mwenzi wangu kadri niwezavyo..
 
YAANI REALLY? LIKE SERIOUSLY????????????? MWANAMKE UMEANDIKA HAYO? PLEASE TELL ME YOU ARE A MAN NOT A WOMAN! THIS IS WHAT YOU THINK FOR REAL?
Emmeline Pankhurst
(1858-1928)
Martha Gellhorn
(1908-98)
Wangari Maathai
(1940-2011)
Mary Wollstonecraft
(1759-97)
Marie Carmichael Stopes
(1880-1958)
Coco Chanel
(1883-1971)

Google hawa watu than angalia walivodevote maisha yao kumfanya mwanamke aonekane nae yumo! Wangesoma hii comment yako WANGESIKITIKA SANAAAAA!

Walstonecraft Marry,(1792) A Vindication of the Rights of Woman. TAFUTA HIKI KITABU, SOMA KITAKUSAIDIA SANAAA!

Ni hayo tuu!
 
... Ni kwa maelezo hayo naomba niwaambie wananwake wenzangu ukiona kila mara, unapenda kujilinganisha na kaka zako, au mume wako, na kuona kuna kitu kinapungua hata ungeumbwa mwanaume ungetamani uwe mwanamke...

Kuongezea kwenye sentensi yako hapo juu, Kuna kitu kimoja ambacho wengi tunashindwa kukitambua na kukifanyia kazi. Kila mtu kwenye mahusiano yake anatakiwa kujua wajibu wake. Kama ni mume anapaswa kujua wajibu wake kama mume na kusimama kama mume hata kama uwezo hana. Na mwanamke pia anatakiwa kujitambua kuwa anapaswa kusimama kama mama nyumbani na kuihudumia familia yake ipasavyo.

Kila mtu akijua wajibu wake, huondoa migogoro isiyo ya lazima. Saa nyingine hii ishu ya kila mtu anajifanya kuwa baba ndani ya nyumba imechangia sana kubomoa baadhi ya familia. Ni vyema tukajifunza kujua wajibu wetu vyema.
 
Self esteem ni hali ya kisaikolojia inayomuonyesha mtu jinsi gani anavyojitambua na kujikubali. Mtu mwenye self esteem ya juu, anakuwa ni mtu jasiri, anayejikubali, anajitambua, anajiamini na hana shida na alivyoumbwa. Kuwa mfupi au mrefu, mweusi au mweupe, maskini au tajiri, mwanaume au mwanamke, si kitu kinaweza kumsumbua mtu yeyote ambaye self esteem yake iko vizuri. Unapoona una shida ya kujikubali au umbo lako, au jinsia yako au hali yako ya maisha ujue shida si hicho unachokiona bali shida iko ndani yako. Ndio maana unaona kuna matajiri wengi tu unaona hawajikubali wala kuridhika, wakati kuna mtu ana bajaj tu na anaenjoy maisha yake. Utaona kuna mtu ana nafasi yake kubwa tu kiajira, au kwenye siasa lakini hajawahi kuridhika. Mtu mwenye shida hii hata kumpa kutawala dunia ataona kuwa bado kuna kitu hakiko sawa. Ni kwa maelezo hayo naomba niwaambie wananwake wenzangu ukiona kila mara, unapenda kujilinganisha na kaka zako, au mume wako, na kuona kuna kitu kinapungua hata ungeumbwa mwanaume ungetamani uwe mwanamke.

My Take
Jifunze kujikubali ulivyo, na kujifurahia kutoka ndani ya nafsi yako, jifunze kuridhika na ulicho nacho kwa sasa(materials) ukiendelea kuongezea kidogo kidogo, na usijali sana mtazamo wa dunia juu yako, maana kuridhika kwa ukweli kunaanzia wewe mwenyewe unavyojiona.

^^
royna
!!! Nikuambie jambo? Mpe heko husband wako! Mwambie ana mke,,
^^
 
Last edited by a moderator:
Lara1 and the team sijasema mwanamke hawezi kufanya mambo makubwa! Nafahamu mwanamke anaweza kujenga nyumba kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa by herself, najua anaweza kuwa activist mkubwa saaaaaaaaaaaaaaaaana kama yule mama mkenya aliyesema wasimzike maana watataribu miti kwa kutengeneza jeneza, najua mwanamke anaweza kuwa mwanasiasa mkubwaaaaaaaaaaaaaaaaaa hata kuwa raisi wa nchi yeyeote ile duniani, najua mwanamke ana uwezo wa kuown business kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kama ya Bill gate, na mambo mengine makubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa atakayo, LAKINI HAWEZI KUWA MWANAUME NA HAPASWI KUJILINGANISHA NA MWANAMUME!By the way why compare yourself? fanya kwasababu unataka kufanya, siyo kumuonyesha mwanaume kuwa unaweza kuwa kama yeye, so what?Kumbukeni MEN will remain MEN and WOMEN will remain WOMEN no matter what! On top, MEN WILL be husbands and WOMEN will remain WIVES! MEN will remain FATHERS and WOMEN will remain MOTHERS! Kaa kwenye nafasi yako and be proud of it!

To Smile and the team, hata kama umeumizwa sana kwenye mahusiano ni vizuri tu nikawakumbusha kuwa kama mambo yote yanaenda sawa, mume ni muhimu sana kwa maisha yenu. Unaweza kusoma na kupatamajina lukuki, dr, prof, and so on, but hivyo vyote haviwezi ziba nafasi ya mume katika maisha yako. Waweza kuwa na pesa nyingi sana hata ndio zikaweza kuwa godoro, but haziwezi kukupa joto awezalo kupa mume, akiwa amekukumbatia! So kumbuka, hata kama mwajifanya hamtaki, hata kama mmeumizwa; bado mume mnamhitaji!

My take
Sitashangaa msiponielewa, bora kutokunielewa kuliko kuelewa isivyo sahihi! Sitashangaa mkinicritisize sana, maana hiyo siyo ishara kuwa hamtayatendea kazi niyasemayo. Najua nitawawini mmoja baada ya mwingine, mpaka kila mwanamke akae kwenye nafasi Mungu aliyomuweka kwenye jamii. Any hata akibadilika mmoja ni ushindi mkubwa sana kwa jamii yetu!
 
asante kwa ujumbe mkuu na sindikiza ujumbe huu na singo ya #Ben_Pol_Jikubali
 
yaani toka nijiunge na jf sijakutana na ujumbe mzito kama huu hongera sana nadhani watakusoma vizuri tu

Wanasema hawajaelewa.....!!! inasikitisha na kushangaza.....
 
I admire most of your arguments.
 
Muhogo ni muhogo tu! Huyu mtoa mada ana akili sana! Wanawake huwa wanakosea sana kujifananisha au kujilinganisha na wanaume sio sawa! La msingi ni kujua mipaka yako
 
Umenena professional zaidi, mie nimekupata vizuri sana.

Kuna wanawake wa jamii fulani hawatamwelewa anachoongelea. Wao kichwani mwao umejaa ushindani usio na tija ili kuonesha tu na wao wanaweza. Hii ipo sana kwa wale walolelewa na mama tu(alizalishwa akaachwa au amevunja ndoa) pia na wale wa asili ya alipouawa bilionea wa arusha.
 
Back
Top Bottom