Wanawake kuchumbia Wanaume...

Wanawake kuchumbia Wanaume...

usikariri mwenzangu dunia imebadilika! Cyo mke lazma awe na jinsia ya kike kumbuka kuna wale Ant-museven

Wale huwa hakuna mke na mume ndugu yangu. Sisi ndo huwa tuna mix things, coz ipo hivi "kama ni ndoa ya wanaume wawili wote huitana mume na mume. Yaani everybody atamuita mwenzie mume, tena huwa wanachukia kweli ukisema kati yao kuna mume na mke."

"Halafu wale wanaooana wanawake wawili nao huitana mke na mke, kila mmoja humtambulisha mwenzie kama mke wake nao pia hawapendi kuambiwa mmoja ni mume na mwingine mke"

Tena wakifunga ndoa huwa anayewafungisha anasema hivi "i pronounce you husband and husband (Kwa wanaume) na wife and wife (kwa wanawake)
 
Back
Top Bottom