Wanawake kubadili line za simu Wanapoolewa..

Hehehehe wakware hata unapoolewa bado wanataka tu!!...akiambiwa na bi dada, "Mie nimeolewa siku hizi" njemba inauliza kuolewa ndiyo nini!?

Kuondoa usumbufu wa wakware kama Boflo
 

Mkuu acha tabia ya Kupenda kupigia wake za watu simu, ita ku cost tu one day, we endelea tu
 
Hehehehe wakware hata unapoolewa bado wanataka tu!!...akiambiwa na bi dada, "Mie nimeolewa siku hizi" njemba inauliza kuolewa ndiyo nini!?

Walivyo wabaya basi, ulipokuwa hujaolewa walikuwa wanakutosa ukiolewa hizo sim za mara kwa mara we acha tu, usipokuwa makini wankuvunjia ndoa yako ikiwa changa changa na wakisha timiza azma yao tu wanakutelekeza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…