mi mbona sijabadilisha mpaka leo.....namba yangu ni ile ile niliyokupa......
Ukifika wakati hili tendo lazima litimieNdio maana huwa nawasikitikia wanao oa
Kuondoa usumbufu wa wakware kama Boflo
Nimeona na jamaa naye anabofya, hapo ngoma droo...Ninashangazwa sana na hii tabia.....Hivi kwa nini wanawake wanapoolewa wanabadilisha
line za simu??? Kwa mfano Dada yangu alipoolewa kabadili, mademu wengi ninaowajua
nikisikia wameolewa, nikiwapigia simu siwapati.
Kwa nini jamani mnakuwa hivi? hamjiamini? Hii inanifanya niamini kuwa Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao ni
wasanii na washafanya sana mchezo mbaya..
View attachment 67665
mi mbona sijabadilisha mpaka leo.....namba yangu ni ile ile niliyokupa......
Boflo, siku hizi kuna nguvu nyingi sana. Kuna nguvu ya umma na nyingine ni nguvu ya uke, hii ni kiboko. Kenya nguvu ya uke imesababisha midume iwe inapokea kipondo daily, Kahama kuna mtu kajiua, kuikwepa nguvu ya uke.
Maswali yako haya yatasababisha ukutane na nguvu ya uke kutoka kwa wadada wa JF.
Mi simo, au unajidai kuwasahau wale madume waliobakwa Zimbabwe na wale wadada wenye nguvu za uke?