Wanawake karibia wote wamevimba makalio, mtatumaliza jamani!

mie nikikerana na mama watoto siongei kitu nachukua daladala kutoka sinza hadi posta mida ile wanatoka kazini, basi nitatizama vyuura pale wee ikifika saa 3 napanda daladala kurudi sinza hata nikifika nyumbani hasira zishaisha

Ye hana chura ukikasirika ususe umwangalie chura wake??
 
Kwa kweli mmezidi maksudi jaman mmejifanya vitu vya ajabu mpaka wenyewe kwa wenyewe mnaangaliana., mimi kwa kweli mazoezi ya Shingo yataendelea msitufanyie maksudi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…