Wanawake kama hawa, sahau kufanikiwa

Wanawake kama hawa, sahau kufanikiwa

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
330
Reaction score
1,244
Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa.

Wanaume wengi mnapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja mbele, afu unarudi mbili nyuma.

Mwanaume mwenye malengo unatakiwa kuwaepuka hawa:

1. Mwanamke Mzuri Bila Akili

2. Mwanamke Anayependa Maisha Laini (Soft life)

3. Mwanamke Asiyekubali Uwe Mbali Nae

4. Mwanamke Anayetawala Wanaume

5. Mwanamke Anayelenga Kipato Chako

6. Mwanamke Aliyekufa Kiroho

7. Mwanamke Anayejivunia Muonekano Wake

8. Mwanamke Mwenye Sumu ya haki sawa

Kaka, usibebe mzigo ambao maisha yako hayawezi kuubeba.
1000153756.jpg
 
unavyoandika hapa hizo kasoro za wanawake ni kama vile sisi wanaume ni wakamilifu sana tusio na kasoro..ingekuwa ni bora unge balansi mzani pande zote..sasa tumeona aina za wanawake tukiwa nao tusahau kufanikiwa..sasa pia tujuze na aina za wanaume ambao tunaweza kuwakwamisha wanawake kufanikiwa kwa upande wao.
 
Ngoja atakuja na hiyo topic dec. Leo tuishi humo
 
unavyoandika hapa hizo kasoro za wanawake ni kama vile sisi wanaume ni wakamilifu sana tusio na kasoro..ingekuwa ni bora unge balansi mzani pande zote..sasa tumeona aina za wanawake tukiwa nao tusahau kufanikiwa..sasa pia tujuze na aina za wanaume ambao tunaweza kuwakwamisha wanawake kufanikiwa kwa upande wao.
Halafu wanarudia hayo kwa hayo kila siku...
Wanawake imekuwa kama kitisho katika jamii nowadays...malalamishi kutoka baadhi ya wanaume yashakuwa mengi... too much pilipili
 
kesha pigwq za uso
 
Halafu wanarudia hayo kwa hayo kila siku...
Wanawake imekuwa kama kitisho katika jamii nowadays...malalamishi kutoka baadhi ya wanaume yashakuwa mengi... too much pilipili
Mhhh wanasema kila.mwanaume aliyefanikiwa Kuna MWANAMKE strong nyuma yake
 
Mwanaume anayeshindwa mwongoza mwanamke hawezi kuwa kiongozi. Binadamu wameumbwa kuwa wawili yaani mke na mme, mwanamke aongozwe na mme. Mke amheshimu mme wote wawili walete familia duniani ili kutimiza mpango wa Mungu. Mwanamme kushindwa kumwongoza mke wake ni sawa na kipofu kumwongoza kipofu mwenzie. Mwanamke ni kipofu anapaswa kuongozwa na kupewa maelekezo na mme wake. Sasa ukimwaacha peke yake nani atamwongoza, huko ni kukwepa majukumu. Tatizo wanaume wengi wanaoa wake za watu ndio maana wanafeli kuwaongoza wanawake. Ulichukua mradi ulio anzishwa na mwingine.
 
Back
Top Bottom