Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,008
- 8,391
Ndugu zangu.
Hawa viumbe, hawa viumbe
Enyi wanawake wake zetu wenye viburi na wengine wenye utii wa kinafiki kama mwanaume kakuomba umsaidie kwenda mahali kama huendi sema tuu hauendi kuliko umpotezew muda wewe unamwambia unaenda kumbe unajua huendi yani una mzungusha na kujikuta upo busy mara uoshe vyombo visafi, mara umwage maji ukachote mengine ni dhambi hii.
Sema tuu mume/ mwanaume wangu ulipo nituma niende mimi siendi au tafuta namna nyingine.
Kwa leo ni haya tuu