EnvyPearl
Senior Member
- Dec 23, 2018
- 170
- 351
Yaan ukiwa nako hako ni kama unalea mtu mwenye abnormalities kichwani
Vina matatizo kibao plus gubu utazani wanawake
Yaan ukiwa nako hako ni kama unalea mtu mwenye abnormalities kichwani
Vina matatizo kibao plus gubu utazani wanawake
Tumaini akamtumainie Mungu wake kule mi sina muda😀😀😀😅😅😅 ww ndounatkiw umpe tumain.usimwangushe.
Tumaini akamtumainie Mungu wake kule mi sina muda😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23] hukuwepo enzi za Adam wewe mlipoelekezwa mle kwa jashoYani uhangaike kutafuta pesa kwaajiri ya K, labda pesa kwa maendeleo yangu binafsi lakini hata siku moja K haiwezi nisumbua.
Mkuu upo dawasco nn?😁😁Yeah sisi tulio soma physics huku lyadebwe, tulieleweshwa hivi, Bomba likiwa Nene na pressure inakuwa ndogo, Lakini bomba likiwa dogo pressure inakuwa kubwa sana zaidi ya Kimbunga. 😏😏😏😏
Hahahah, hamna mkuu, nikumbukumbu tuhh za physics katika shule za kata 🙋🙋🙋🙌🙌🙌Mkuu upo dawasco nn?😁😁
Good dick should be last on the list.
Like wtf? He dumb, but he got good dick, he broke but he got good dick, he is such a player but he got good dick, so Imma just stay and act stupid over some good dick. 🙄🙄🙄
Nah. Gimme a smart man, a God fearing man, one who respects me and truly cares for me and treats others with dignity and respect..... I will take whatever I find in his pants.
Fullstop.
DuuuhMmmmmnh hapa kwa kweli namba moja tu halaf hana hela ili iweje?pia viwanaume vi andunje navyo ni hekaheka
😁😁😁 Poa Poa mkuuHahahah, hamna mkuu, nikumbukumbu tuhh za physics katika shule za kata 🙋🙋🙋🙌🙌🙌
Yawezakua uko mbilikimo kama chupa ya Anjali lakini mwanamke atakwambia "Baby urefu wako unanivutia kama mlima Kilimanjaro" ha ha haKwel asee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji95]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Utaskia bby we ufupi wako wa kawaida tu. Hapo kidume upo na kimo cha chupa ya chumvi!Yawezakua uko mbilikimo kama chupa ya Anjali lakini mwanamke atakwambia "Baby urefu wako unanivutia kama mlima Kilimanjaro" ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wanataka vyote...so kwao haiwezekani. Atapata mwenye pesa huku anapigwa na mkata kuchaWANAWAKE kaa ukijua kwamba hakuna mwanaume mwenye hivi vyote...
1.Good dick game
2.Empathy
3.a height above 5'9
4.no hoes
5.common sense
6.Money
Ushauri kwa hawa dada zetu chagua namba moja tu hapo utuliee.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahahhahahahah! hebu niendelee kutafuta mawe mieHapa ni namba moja na namba sita mengine tutavumiliana
Ahsante shem wangu wa ukweli hahahhahahahahahhahaHapo ukiwa namba 6 pekee hizo namba nyingine zote utasifiwa kuwa nazo,hata uwe mfupi kama Stive Nyerere Mwanamke wako atakuona mrefu kama Hasheem Thabit. Wanaume tafuteni Helaa
Sent using Jamii Forums mobile app
You are such a genius KaruceeGood dick should be last on the list.
Like wtf? He dumb, but he got good dick, he broke but he got good dick, he is such a player but he got good dick, so Imma just stay and act stupid over some good dick. 🙄🙄🙄
Nah. Gimme a smart man, a God fearing man, one who respects me and truly cares for me and treats others with dignity and respect..... I will take whatever I find in his pants.
Fullstop.
Mkuu, umemuelewa Karucee vizuri??