Kumbeee aisee sasa hizo hela za vicoba wanapeleka wapi hawa wanawakeSiku ya Ijumaa ndio siku inayo ongoza kwa mizinga na hasa jioni.
Mwanzoni nilikuwa na shangaa ila ndio nikaja kujua,wengi Jumamosi wana Vikoba.

Nipo mkuuHupatikani boss
𝐩𝐮𝐧𝐲𝐞𝐭𝐨.𝐯𝐢𝐩𝐢 𝐬𝐚𝐬𝐚...wacha wawe omba omba tuwatafune vyema
wakiwa nazo coochie tutazipata kwa tochi
Nawasilisha
Hawata hamini mpaka mwisho wa dahari wasipo badilikaHalo wanawake,
Jishughulisheni wanawake na pia unachokipata wewe mwanamke ridhika nacho.
Mtoto wa kike usipotulia zitakazoumia ni sehemu zako za siri.
Hii ni taarifa fupi.