Wanawake jinsi wasivyokuwa waaminifu...

Wanawake jinsi wasivyokuwa waaminifu...

...nilikutambulisha kwa Wazazi,nikakuweka wazi kwa papalazi.Kumbe siyo demu naishi na jambazi,..mbele kumeziba nyuma kuko wazi daah,..sipendi tena kuumia roho,sipendi tena mifupa mimi kibogoyo nataka vile vitu laini no Money no honey nimebaini,...mwingine aendelee...
Sitaki tena kuumia moyo,
sitaki tena unione poyoyo
mi sitaki hilo penzi la kichoyo
Mi sitaki mifupa mi kibogoyo
Nataka vile vitu laini,, NO MONEY NO HONEY
Nimebaini (bhwaa)...kwa nini niumie
Kila siku wakati penzi lako haliendi bila ya CHAPAA (Paaaaah paah)..
 
Hizi ndio athari za kuwa na "company isiyo na Manufaa'' Hivi kwa mfano wangemshauri kuhusu kutulizana kwenye ndoa yake na aachane na tamaa za 'mabwana wa kupita tu' Mi naamini yasingefika kote huku coz alikuwa anapata kila kitu anachotaka...

Mwanzon wakati kelvin anamu approach alisimama thabiti kuitetea ndoa yake ila sijui ni kitu gani kingine maskini kilimpata dada huyu!?

KWENYE STORI HII JIFUNZE YAFUATAYO:
1. TAMAA MBAYA..EPUKANA NAYO
2. KUWA MAKINI UNAPOCHAGUA MARAFIKI
3.ZINGATIA MUDA WAKO KUFANYA MAMBO MUHIMU KWANZA
4.MSIMAMO BINAFSI NI WA KUTILIA MKAZO
5.UKISHIKWA SHIKAMANA NA UTULIZANE (KWENYE NDOA)

NB; USITEME BIG G KWA KARANGA ZA KUONJESHWA NA USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO.!


@joseverest☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆
 
Imeniuma sana,hasa poor franco..jamaa alimpenda sana mke wake maskini kungunguru hafugiki.
Mimi hapo ninae muonea huruma ni Franco tu,alijitaid kumpenda mkewe,Kampa kila kitu.gari nyumba nzuri,kitombo kizuri,pesa ipo Lakin bado akasalitiwa tu..
It hurts jamani.
 
Daah pole sana Dada kwa yaliokukuta,kama unasubr Franco akurudie ni sawa na kusubr Meli Ubungo na mchepuko siku zote haolewi.
 
Hakuna anayempenda ila ni mwalangani tu. Mwanamke ni kama kivuli ukimfuata anakukimbia ukimkimbia anakfuata. Franco hajavaa uhusika wa mwanaume wa kiafrika yupo kizezetazezeta, wanawake hawataki mtu soft hata dushelele soft sio deal kwao. MUST BE HARD AND STIKCY
you're wrong brother, Franco's very hard and sticky than you think! this man has a very strong chest to bear all those secretes for so long, Franco is emotionally too strong to avoid emotions drive him in decisions. Honestly i grabed alot from this man!
 
Ukiisoma kwa makini utaelewa tatizo lenu huwa hamsomi thread mpaka mwisho,nthen mnakimbilia ku comment ulipo ishia kuisoma wewe inakuwa kama una dandia gari kwa mbele.Kwa muhusika alimpenda sana Kelvin ila huku kwa franco alikuwa analinda ndoa tu maana kila kitu anakipata na ndio kuna life nzuri lakini hakuwa anampenda mumewe kwa dhati.
 
Mumewe alikuwa anadeka.Kutokuwa na mama au kuzaliwa peke yako haikufanyi watu wakupende kuliko wengine.

He wasnt man enough.Alijua mapema sasa kwa nin alimuacha aendelee kumla mkewe?Angepata ujauzito je?

Ushauri kwa dada zetu.Wanaume pia tuna roho kama ninyi.Tunaumia pia ingawa tangu tunazaliwa jamii inatuambia tu-man up but deep inside we are so soft.Ila jamaa mlizi sana anadeka.
 
Watu ambao wanafanya umalaya siku wakiumbuka huwa wanasingizia...
1)..."sijui nani kaniroga"...
2)....shetani alinipitia...
Aliekupitia ni Kelvin...mimi siwezi mwonea huruma hyu mwanamke labda hyo Franco...kwanza ilibidi franco aende na wavuta bange wampige mtungo hyu demu na kuwatatua rinda yeye na hyo Kelvin wake...pumbaaaaff....
 
amechelewa sana kumuadhibu, amechelewa sana... Kwa hasira Zangu miye nadhani nineshamtupa pembeni pale alipogundua zile sms
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom