Si ameshasema wanawake kwani dada zake sio wanawakeVipi kuhusu dada zako,nao ulishawaambia kuwa wasivae vimini? Au unatafuta umaarufu JF?
Mmh!Hi tabia ya kuvaa vimin na nguo zinazobana inawashushia heshima yenu.
Yaan tujarib kujisitiri ili heshim yetu dumu.
Mwanamke bora n mwenye tabia njema ila sio sura na shepu.
Wamo humu JF?Si ameshasema wanawake kwani dada zake sio wanawake
Hi tabia ya kuvaa vimin na nguo zinazobana inawashushia heshima yenu.
Yaan tujarib kujisitiri ili heshim yetu dumu.
Mwanamke bora n mwenye tabia njema ila sio sura na shepu.
Wazazi tujue tukishazaa tunapaswa kulea, watoto wanashinda kwenye TV na mitandao mbalimbali wanaiga kila kitu, bila uangalizi wa karibu wanajiingiza kwenye mitindo kama hii.Mambo yao waachie wenyewe.
View attachment 3549457
Labda ujaribu kutoa ushauri kwa wanaume wenzako wanaovaa nguo fupi na za kubana.
View attachment 3549458
Bado kuna king of squats😃Mambo yao waachie wenyewe.
View attachment 3549457
Labda ujaribu kutoa ushauri kwa wanaume wenzako wanaovaa nguo fupi na za kubana.
View attachment 3549458
Kaka amefungasha yule 😂 😂 😂Bado kuna king of squats😃
Ni kweli, wapo wanawake ambao wanazingua hata mimi kuna mavazi sipendi kuyaona.Vimin v. Vinjunga🤣
Wazazi tujue tukishazaa tunapaswa kulea, watoto wanashinda kwenye TV na mitandao mbalimbali wanaiga kila kitu, bila uangalizi wa karibu wanajiingiza kwenye mitindo kama hii.
Namuonea wivu sana kanizidi mbali😆Kaka amefungasha yule 😂 😂 😂
Wanaume hawashauriani zaidi ya kuambizana wasioe singo maza na wanawake above 30, wameshaamua kula na sisi sahani moja, acha tudeal nao perpendicular 😃Ni kweli, wapo wanawake ambao wanazingua hata mimi kuna mavazi sipendi kuyaona.
Ila kwanini hawawashauri na wanaume wenzao wanaovaa kihasara hasara, kila kukicha mambo ya wanawake tu?
Asante sana 🙏
Unkwepekable things🤣Fanya kama huwaoni