duh! hujamgonga anaanzishwa timbwili je ungemngonga si ndio utakuwa huwezi kumwacha? ila nadhani sio wote wenye tabia hii.
Nalog off
si mwenyewe ndiye aliyeweka mambo hadharani?Unajuaje kama hajamgonga?
si mwenyewe ndiye aliyeweka mambo hadharani?
Nalog off
Ukitaka mwanamke asikusumbue mwambie jogoo lako halipandi mtungi...
Nashangaa af anadai anampenda mpenzi wake...alishndwaje kumvuta na kumtupa mbali huyo mdada mwngne?ikiwezekana kumnasa vibao kabsa??kwahyo huyo dada anatoa maneno yote hayo nawew umekaa tu unasikiliza au??kosa afanye mmoja uje utujumuishe wote inahuuuu..........kwanza mwanaume mzima utashindwaje kuamua ugomvi wa wadada mpaka mlinzi akusaidie??
Ukitaka mwanamke asikusumbue mwambie jogoo lako halipandi mtungi...
Maelezo mengi kumbe mjinga ni wewe uliyegonganisha magari.
tatizo hajielewi na hana msimamo....afu anakuja kupost huku anadhani sifa.Nashangaa af anadai anampenda mpenzi wake...alishndwaje kumvuta na kumtupa mbali huyo mdada mwngne?ikiwezekana kumnasa vibao kabsa??kwahyo huyo dada anatoa maneno yote hayo nawew umekaa tu unasikiliza au??
Siku zote nafahamu wanawake ni viumbe vyenye akili mbili tatu.Xo dnt take it into advantage kwamba jinsi mlivyowadhaifu ndo mkose hata akili ya kujielewa na kujitambua.Siku zote msitake kuforce mapenzi,mwanaume akikwambia ana mpenzi tayari,jaribu kuelewa,usiforce akupende although najua inauma,pale unapojibiwa negatively na matarajio yako.sasa ona huu mkasa umenitokea jana majira ya jioni,nilikuwa na demu wangu tumeamua kula dinner nje coz,si kila siku tunapika.Well,kunademu alitokea kunipenda kipindi cha kama wiki 3 zilizopita,alinitafuta kwa namna anayojua mwenyewe na sijui ni nani aliyempatia namba yangu ya simu.Xaxa tangu aipate hii namba kwangu imekuwa kero coz anasumbua kunipigia simu hovynhovyo,huku anajua fika mimi ninamwanamke ambaye tunapendana tayari,sasa chakushangaza jana kavamia convoy yangu na my lover,akaanza kumrushia maneno manzi wangu,eti"Aaaargh,mwanamke mwenyewe kimbaumbau,hakina hata shepu,sijui na huyu mwanamume kakupendea nini,kaone kalivyokabaya kuanzia sura mpaka tabia,kazi kudandiadandia ngoma usizo na hadhi nazo".Kweli yule mwanamke alinikera kweli coz alisababisha ugomvi mkubwa,walipigana kweli nikashindwa hata kuamlia mpaka nilipopata msaada wa mlinzi shirikishi mmoja wa kike nakumdirect yule mdada ki2o cha polisi,hivi xaxa yupo nje kwa dhamana na anakesi ya LUGHA YA MATUSI.sasa naona alichokipanda keshavuna.Nani alaumiwe jamani,coz nisha ku alert mapema mm ninampenzi,kwann usiwemuelewa basi.KWELI WANAWAKE mnaboa kama ndo mmefikia stage hii yakuforce mapenzi.
Mshamba we na vijike vyako vya uswazi!!! Vinuka mkojo usitulinganishe navyo mxuuuuuuuuuu!!!
kosa afanye mmoja uje utujumuishe wote inahuuuu..........kwanza mwanaume mzima utashindwaje kuamua ugomvi wa wadada mpaka mlinzi akusaidie??

We division V ututake radhi!
Mbona una generalize matatizo? Wemen trafficking imekushinda umegonganisha madem zako wa tandale sijui kiburugwe halafu ulivyo ----- hata kuamulia umeshindwa unakimbilia JF kusema tujiheshimu! Wewe ungejiheshim wangegombana? Nijavyo mimi mwanamke hawezi kukuganda kama hakijawahi tokea chochote kati yenu kabla! Huenda ulimmega halafu ukajijengea defensive mechanism eti nina mchumba wangu!
Tena kakosea ningekuwa mimi ningekupiga wewe na hivi hata kuamlia ugomvi huwezi walinzi wangekusaidia kufuata Pf3