Wanawake jamani! Eti huyu ana miaka 21?

Possible. Zama hizi usidetermine umri kwa kuangalia mwili, maradhi mengi.
 
Huyu bado mtoto, kuna binti tunakaa nae mtaa mmoja yuko kama huyo na ni 19 yrs, anazaliwa anakua namwona.
 
Inawezekana mkuu kuna watu wana miili mikubwa sana tofauti na umri wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…