Ayatollah akimwona huyu manzi lazima atajikuta anakubali kubatizwa na kumpokea Yesu kama mwokozi wa maisha yake.
Ndio madhara ya ushia hayoUtawala wa Kiislam wa Iran ukianguka, Iran itaachana na uislam kuna uwezekano mkubwa itakuwa atheist, Zorostrian au itakuwa wananchi wake wengi watakuwa Wakristu
Kweli pale Zenj manamake yote mafututendo _ma polygon _njino ndema kinoma. Juzi nilikuwa nafuatlia hafla ya uzinduzi wa hoteli kila nikiperuzi sura za wanawake nilikuwa nacheka peke yangu , yaani yote kama madume.Ukienda pale Zanzibar mianamke hata mkono hakupi yanakwepesha eti haramu afu ukiyaangalia sura nzito😁😁
ona pisi za Iran zinavuta Hadi sigara 😬
Mtu yeyote mwenye akili hawezi kuvas mamhuo meusi or whatever kwenye hali ya hewa ya 40 and above temperature CelsiusDuu! Hawazitaki hijabu tena! Inaonekana wengine huwa wanavaa kwa lazima na si kwa hiari.
Utawala wa mamullah umekalia kuti kavu.Mambo duniani yanaenda kasi sana. Njaa haina baunsa.
View attachment 3528110
View attachment 3528111
adriz de mbusii
Uzuri wanaochoma sio kina Snoop Dog na Rihanna. Ni wao wenyewe.Yes
Change is inevitable
Hii itatembea dunia nzima
Ila duh kuchoma misikiti na hijab ndo inanishangaza
Kama sio ajabu kwanini mliwalazimisha wavae hijab?Kama Mashia sio ajabu
So mtu anaanzaje kuvaa vaa manguo kama ninja tena katika sehemu yenye jua Kali ule siuchiziDuu! Hawazitaki hijabu tena! Inaonekana wengine huwa wanavaa kwa lazima na si kwa hiari.
Uislam ni dini ya kulazimishwa, hasa huko Urabuni. Watu wanakubali kufuata wanachoambiwa kwa sababu ya hofu ya kuuawa, lakini wengi hawaamini wanachokiabudu. Karne zinzofuata, zitashuhudia kuanguka kwa uidlam Duniani, utabakia kwa wale tu waliokuwa wakifuata kwa sababu wanayaamini mafundisho yake, siyo kwa wanaolazimishwa.Kushindwa kutenganisha dini na Serikali lilikuwa kosa kubwa sana. Raia hawawezi kuichukia Serikali bila kuichukia dini yenyewe!
Ndo nashangaa jmnUzuri wanaochoma sio kina Snoop Dog na Rihanna. Ni wao wenyewe.
Kama Mashia sio ajabu
Siku hawa ndugu zetu wakihakikishiwa Usalama basi tutaona wimbi kubwa la Waislamu kuikimbia hii dini. Hii mikwara ya utauwawa ukihama dini imewaweka kifungoni wengi sana.
Wanaoipata fresh kuhusu hii mifumo sio wa huku ni hao wa Arabuni na Mashariki ya kati kiujumla. Ndio maana wakitaka kuhama nchi huwa hawaendi nchi za Kiarabu wala Kiislamu wanakimbilia kwa Makafiri.
Maoni yangu.
Uislam ni dini ya kulazimishwa, hasa huko Urabuni. Watu wanakubali kufuata wanachoambiwa kwa sababu ya hofu ya kuuawa, lakini wengi hawaamini wanachokiabudu. Karne zinzofuata, zitashuhudia kuanguka kwa uidlam Duniani, utabakia kwa wale tu waliokuwa wakifuata kwa sababu wanayaamini mafundisho yake, siyo kwa wanaolazimishwa.