Hayo ndio matunda ya utawala wa kishia. Halafu kutwa kucha kuwasakama Ahlus Sunnah na Nchi zao.
Ukifuatilia wanaojua habari za Iran watakuambia kumekuwa kukienea mno usekula na chuki kali dhidi ya Uislam na Waislam miongoni mwa mashia rafidha wa Iran. Mpaka mahekalu yao ya kishia yanakosa watu.
Hayo ndio matunda ya makafiri akina Khamenei na genge lake.
Hili ni tofauti na Ahlus-Sunnah wa Iran ambao ukienda maeneo yao kama vile Ahwaz, Baluchistan, Sistan, Kurdistan na kadhalika mwamko wa Dini ni mkubwa sana, misikiti inajaa na zaidi idadi yao inaongezeka zaidi, wanazaliana sana Maa Shaa Allah, huku mashia rafidha kuzaliana kwao kunapungua.
Huwezi kuifananisha dola ya kirafidhi ya Iran na nchi yoyote ya Kiislam licha ya madhaifu yoyote utakayoyaona kwenye Nchi hizo.
Ushia ni ukafiri na ni geti la kupelekea u atheism na kupinga Dini kwa ujumla.
Allah Airudishe Iran katika mikono ya Ahlus-Sunnah kama ilivyokuwa zamani, Hakika Yeye Allah ni Muweza juu ya kila kitu, Allahumma Aamiin