Wanawake huwa mnakwama wapi?

Kwa upande mwingine kumblock mtu Ni kwamba unamuogopa ama la hutaki mawasiliano nae kivyovyote vile hasa Kama Ni msumbufu, kanuni yangu Ni hii endapo mtu akinilazimisha kumpa ban, tia tofali halafu Ni kufuta namba maisha yanaishia hapo
Duh
 
Nakazia.
 
Unajisifia uhuni, yani nyinyi wanawake wa zama hizi dah
Mpendwa kwani tatizo ni Nini haswa?wapi nimejisifia uhuni?.. ukiona comment imekukwaza achana nayo
 
Ukimchunguza sana mtu,utakufa kabla ya muda wako,kikubwa ni kujitahid kutimimiza yaliyo muhimu kama mme,ukimwona mwanamke anayarudia madanga ake ujue maajabu alyotegemea kukuta ndani ya ndoa hajayaona ,saa nyingine n tamaa zake mwenyewe
 
Pole sanaaa kwa yalokukuta mkuu vumilia tu ndo mambo ya ndoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…