RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,415
- 139,261
Na ninyi huwa mnawaza nini?
A clear rejection is always better than a fake promise.
labda hajui hili
Na ninyi huwa mnawaza nini?
katika mahusiano kuachana ni jambo la kawaida hasa unapopata mpenzi unaeona ana vigezo ulivyokuwa unavihitaji.lakini kwa upande wa kina dada huwa hawatumii saikolojia anapotaka kumuacha mpenzi wake.yeye muda wowote atakapoamua kutamka neno la kuachana anatamka bila kuzingatia anaemfikishia ujumbe atachukua uamuzi gani. mimi sijui huwa wanafikiia nini.
Yaani nikitaka kukuacha lazima nikuombe ruhusa....alaaa. Kwani nyinyi huwa mnatufanyaje.
Tumesha waacha sana hawana maana hawa. Mimi mmoja had leo haamin macho wala masikio yake. Anashangaa tu kama dudu vile, nilimwambia kama utani ila ikawa ndio hivyo. Nilimwambia tu byeeeeeeeeeee.
kuna njia ya kumuandaa mtu kisaikolojia mpaka kuachana au ikiwezekana mtengenezee mazingira akuache yeye.
Kuna wakati sikutaki huwa haimaanishi hataki kweli, njia tu ya kipimajoto cha upendo