WHAT THINGS MAN NEED TO KNOW
ladies wanapenda yule mwanaume ambae romance yake inapelekana nakutoa,
Yule mwanaume anakupeleka kwa show alafu ile kitu yoyote unakula kwenye hiyo show he takecareoff
Ladies wanapenda yule mwanaume kukiwa na barid anakutolea koti yake uvae na ni yeye anakuvalisha
Yule mwanaume mkicross kwa barabara anakushika mkono na anakubebea handbag ......
Now the problems is......... ........
Akuna MWANAUME Mpumbavu kias hicho akunaaaaaaaaa
Kwa hawa wanawake wa kidigitally?WHAT THINGS MAN NEED TO KNOW
ladies wanapenda yule mwanaume ambae romance yake inapelekana nakutoa,
Yule mwanaume anakupeleka kwa show alafu ile kitu yoyote unakula kwenye hiyo show he takecareoff
Ladies wanapenda yule mwanaume kukiwa na barid anakutolea koti yake uvae na ni yeye anakuvalisha
Yule mwanaume mkicross kwa barabara anakushika mkono na anakubebea handbag ......
Now the problems is......... ........
Akuna MWANAUME Mpumbavu kias hicho akunaaaaaaaaa
Unamaanisha bonus? ????[emoji87] [emoji87] [emoji87]Pesa pesa pesa pesaaaaaaa!
Thubutuuu! Hii ndio main, bonus ni yale mengine.Unamaanisha bonus? ????[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Hahaha nilijua tu utakurupuka huko ulipo. Bonus oyeeeeThubutuuu! Hii ndio main, bonus ni yale mengine.