Wanawake: "Humalizi tu, mimi nimechoka"

Wanawake: "Humalizi tu, mimi nimechoka"

Ukiona mwanamke anakuambia hivo ujue unamboa, utakua hujui kitu kazi kurukaruka ruka kama chura na kuhema hema maliza tu kwakweli.....michosho

Sio kwamba rigwaride linakuwa kali mpk mdada sasa anaomba poo.?!
 
Hapo basi jua mwenzio hainjoy tatizo nyie wanaume mpo selfish sana wewe unajiangalia wewe...mfanye vizuriii ainjoy hatalalamika sio wewe unafanya kama unajaza pump kwenye tairi la gariii akhuuuu hata mm nakwambia nimechoka... tena wanawake wengine hawasemi ila ndo anakuchoka na yeye...
 
Sio kwamba rigwaride linakuwa kali mpk mdada sasa anaomba poo.?!
Thubutuuuuu ukiambiwa fanya shaa ushuke ujue ni kero
yaweza kua harufu mbaya kikwapa, jasho...au hujui kupiga pmb, unaboa na story n.k n.k
 
Na wale wanaokosa hamu mara tu baada ya kupizooo....! Nao inakuwaje coz wakishapizo hawataki tena uendelee..niaje hapo!

hao nao kunasababu miongoni ni papara, matarajio ya juu zaidi kuliko hali halisi, madhara ya kujichubua, kutokuwa na/ maandalizi hafifu nk.
 
Kabisa........hata akitaka round 10......... Humkinai.........mnaweza kesha........

Mmmh.. Preta round kumi kweli? Labda kama round moja ni dk5. Je, wale vidume wanaopiga round moja 30mins, wataka kusema akipiga round 10 utakuwa nae sambamba?
 
Last edited by a moderator:
Mmmh.. Preta round kumi kweli? Labda kama round moja ni dk5. Je, wale vidume wanaopiga round moja 30mins, wataka kusema akipiga round 10 utakuwa nae sambamba?

Nimetolea tu mfano kwa mtu unaempenda........na sio sponsor.......
 
Last edited by a moderator:
Hapo basi jua mwenzio hainjoy tatizo nyie wanaume mpo selfish sana wewe unajiangalia wewe...mfanye vizuriii ainjoy hatalalamika sio wewe unafanya kama unajaza pump kwenye tairi la gariii akhuuuu hata mm nakwambia nimechoka... tena wanawake wengine hawasemi ila ndo anakuchoka na yeye...

Aaah kumbe na wewe huwa unachoka?
 
Na wale wanaokosa hamu mara tu baada ya kupizooo....! Nao inakuwaje coz wakishapizo hawataki tena uendelee..niaje hapo!

Wakipizo hamu inaisha na hawataki kukuwezesha na wewe upizo eti wamechoka, Wabinafsi hawa.
 
Nlitamani nifungue whatsapp video zangu tu niangalie wakati ye anaendelea kujirusha rusha kama maharage 😡

Yani dah!siku zote kwenye miti hakuna wajenzi,yani watu kama nyinyi huwa nawatafuta sana,maana mechi zangu huwa ni heavy,hivi kwa nni tusicheze mechi moja ya kirafiki tuone kama hujashindwa kutembea baada ya mechi au kama hujapata bed rest ya wiki nzima,huwa mnakutana na wanaume mandezi washazoea chips yai halafu mnakuja kutudharau huku!.,
 
Back
Top Bottom