Wanawake: "Humalizi tu, mimi nimechoka"

Na mara nyingi mwanaume ukiambiwa fanya haraka..........usijiulize maswali mengi........wewe ni sponsor tu........

ha ha ha.........tag your sponsor.............

Kwa hiyo kumbe na mimi umenifanya sponsor wako,nimekushtukia dili lako na ile pesa niliokuahidi huipati tena!
 
Hapo basi jua mwenzio hainjoy tatizo nyie wanaume mpo selfish sana wewe unajiangalia wewe...mfanye vizuriii ainjoy hatalalamika sio wewe unafanya kama unajaza pump kwenye tairi la gariii akhuuuu hata mm nakwambia nimechoka... tena wanawake wengine hawasemi ila ndo anakuchoka na yeye...

We kweli mtoto mpole,huwa mnawapati wapi hao wanaume wasiojua kuwatibu vizuri,mtoto mpole kama wweunatakiwa uwe na shabab kama mmi na kutibu vizuri mpaka mwenyewe unaomba poo!
 
mtu hafanyi maandalizi yoyote amaweka mkono tu chap kama anakupima homa, busu lenyewe la haraka kama kachomwa na mwiba wa samaki, anakimbilia papuchi nakuingia gafla kama panya anakimbizwa na nyoka . alaaaaa
 
Poleee eeeh! Jamaa anakuingilia kavu kavu hata kabla papuchi haijapata oil!
 
sasa hakupendi angekuvulia " mchupi " wake? hapa ndipo wanawake mnapodharauliwa na mnadharaulika pia. kama unajua mwanaume humtaki iweje unakubali akukojolee?

Hujasoma neno "SPONSOR" huko juu..........?........kwa nini tunashindwa kuelewana jamani..........?..........

cc masai dada..........
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi wanaoto kauli hii ni machangudoa wanataka umalize wakatafute wateja wengine. Kama sio changu ni mwanamke wa kawaida basi huna ufundi wowote wa mahaba zaidi ya kusukuma ndani na kutoa dushe lako yaani unamchosha tu.

Chaka mbaya
 
Mwanamke mfanyabiashara ndo anaweza kusema humalizi,anataka akatafute wateja wengine
 
Ya nini kuchoshana kama mtu mwenyewe hata la maana analolifanya hakuna!! Anajua kudumbukia na kutoka tu km anatwanga mahindi, swaga hakuna!! Aaah kwakweli mie nakusukumia hukoo nikaoge usinichoshe bila tija.
 
We atoto umenikimbia sio aya piga teke kapu la hela
 
Aisee hayo matusi sasa bro!!!

Back
Top Bottom