Wanawake ‘hit and run’

Show Mbovu
 
Unajua kuwa na mtu muda mrefu sio ngono tu na jinsi mnavyofurahiana na kushibana na damu zenu kupatana
 
Unajua kuwa na mtu muda mrefu sio ngono tu na jinsi mnavyofurahiana na kushibana na damu zenu kupatana
Yeah,ni kweli cute....but kuna muda utamwitaji kimwili
 
Ni kweli mie siwezi kurudiaga mechi walahi
Yani tatizo la hawa ndugu zetu ukiruhusu match zaidi ya mbili au tatu wanakuwaga na mazoea flani ya kindezi sana. Unaweza kushangaa anakupigia simu usipopokea ukija kupiga wewe inakuwa vita. Huwa nabaki kucheka kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…