Wanawake hili sio poa

Pamoja na meseji zote hizo kiukweli nimepigwa na butwaa sijajibu meseji hata moja. Nashangaa tu imekuaje au siku hizi m-pesa ukituma pesa Wana huduma ya kukutongozea kabisa

Hii huduma walianza mda mrefu sana...

Hao mademu wa michongo wanakusogeza taratibu,, utaitwa itwa majina mazuri halafu baadae ukijaa wanakulipua mzinga mmoja Dunia nzima
 
Duh! Ndo polen sana kwa changamoto nyie wafariji wakuu[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…