Wanawake hii inatokana na nini?

Wanawake hii inatokana na nini?

Hapa hakuna shida....
Shida ni pale akilowa anapomuona mwanaume yeyote....:israel::wave::loco:

Wanabodi habari zenu.
Kwa kifupi nina demu wangu anatatizo la kulowa papuchi yake kila akiniona.....Sasa nauliza huu ni ugonjwa au ni kitu gani? Wataalam mnisaidie kujua na ikiwezekana kutatua hili tatizo.
 
Yan ni jinsi gani anakufeel in side,yan atamkienda sita kwa sita achukuwi round atakuwa hoi

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Unaumri gani ?? inawezekana anakupenda sana

how can this be scientifically verified? kupenda na maji ya papuchi? dah hii nimeisikia leo aisee, if one thinks well itakuwa ile antidiuretic hormone haicontrol vizuri maji yanayotoka mwilini , sikumbuki vizuri biology yenyewe ya division 5 hahaha huyo msichana wako yawezekana ni amphibian kama sio reptile buhahaha natania bana
 
hiyo hutokea pale ambapo una mfeel sana mpenzi wako, ndo mana akikuona tu ute unaanza kutoka, pia kuna wanaume wengine huwa feel sana wapenzi wao basi kila wakiwa pamoja lazma asimamishe, ila na wewe mwenzangu ina maana kiiiiiila mkikutana unashika chupi yake? mbona kazi
 
hiyo hutokea pale ambapo una mfeel sana mpenzi wako, ndo mana akikuona tu ute unaanza kutoka, pia kuna wanaume wengine huwa feel sana wapenzi wao basi kila wakiwa pamoja lazma asimamishe, ila na wewe mwenzangu ina maana kiiiiiila mkikutana unashika chupi yake? mbona kazi

Basi tu huwa najikuta namkagua automatikale.
 
kila akikuona analowa----unamanisha hata akikuona kwa mbaaaaaali tu tayari maji
 
solution kwa wahaya ni katerero


usigope sio ugonjwa weka dushlele ndani akiloanisha godoro anika kipindi cha masika kimeisha acha woga

Ivi katerero si ndo ile ya kumchukua Afande Abdallah kichwa wazi na kumgongesha gongesha kwa Yondo Sista au sio??....kama ni hiyo nmefanya sana na ndio ka mchezo kangu hako
 
Back
Top Bottom