Ahahahaaa jamani kwanini tusiridhike?Huwezi kumridhisha mwanamke.
Walio tulia Ni wameamua tuu
Ukimridhisha kwa dydyu Bado atataka pesa, ukimpa pesa Bado atataka uwe handsome mara uwe mrefu.... Mara sijui mweupe ..Ahahahaaa jamani kwanini tusiridhike?
Kama jinsi na nyie msivyoridhika na wake zenu. Utamtaka mfupi mara mrf mara mwenye wezele mara kipotabo basi tafraniUkimridhisha kwa dydyu Bado atataka pesa, ukimpa pesa Bado atataka uwe handsome mara uwe mrefu.... Mara sijui mweupe ..
Ukimridhisha kwa dydyu Bado atataka pesa, ukimpa pesa Bado atataka uwe handsome mara uwe mrefu.... Mara sijui mweupe ..