Wanawake hebu tujielewe jamani, kah!

Wanawake hebu tujielewe jamani, kah!

Mkuu
Mimi nimempa ushauri tuu..
Jama anawajazaga sana kama hawa pale Viwanja vya Udsm
Usingetumia jina la mtu kwa mambo ya humu bhana siyo poa tufanye ya kwetu ya kwao tusiyaingilie. Acha kabisa
 
Usingetumia jina la mtu kwa mambo ya humu bhana siyo poa tufanye ya kwetu ya kwao tusiyaingilie. Acha kabisa

Ndioo Mkuu..
Kwanzia sasa Nimetengua kauli yangu ya hapo hawali..
Asante kwa angalizo..
 
Kwa mwendo huu si mwanamke atakuwa na list ndeeeefu sana ya wanaume, yaani mkigombana kidogo tu hakuna kujishusha, uondoke?
 
mwanaume ni mwanaume na atabaki kuwa mwanaume..,,.anaulilia utamu wa his man
 
watu walikuaga wananiambia hivyo kwamba huo msimamo wangu sitakuja kuolewa, na mbona nimeolewa, na mwanaume alinifahamu na ananifahamu vizuri, tatizo hampendi kuambiwa ukweli
Wabishi hawa waache
 
Ushavurugwa wewe.waache wanawake wenzio wafurahie mapenzi motomoto.wanalia wanateseka lakini hawaondoki.kama unahasira kunywa sumu
 
Imetabiliwa "wanawake watano watamjia mwanaume mmoja wakimlazimisha awafanye matusi bure, gharama zote juu yao"

Huo wakati unakuja na ushaanza
 
Wewe dada kama sio muumini wa dildos basi umetendwa na moyo wako umeweka kutu. Huyo mwanamke kuweka mambo yake insta ni mbaya,ila na wewe hiyo solution uliyoitoa ndiyo mbaya zaidi,huku sio kuwazindua wanawake bali ni kuwapotosha. Kumuelimisha mwanamke ni kuelimisha jamii,na kumpotosha ni kupotosha jamii pia. Wazindue wanawake wa behave kama wanawake na sio kuwavisha ujike-dume.
 
Kama Analyst...tunaweza kujaribu ku deduce mambo yafuatayo kuhusu mtoa mada..

i- Ni mwanamke
ii- Huenda ana Hela
iii- Huenda ana elimu nzuri tu (degree moja kuendelea)
iv- Anaamini kua ana kila kitu na kajitosheleza...
v- Hayupo kwenye relationship yoyote...kama yupo ...relationship yake iko kwenye rough patch..bumps na hills
vi- chances are ...Hatakuja kua na normal joyful and happy relationship life...(breakups,divorces,cheatings,dramas )

kwa mnaofikiria kunishambulia...subirini kwanza hahah just know..most part of our lives ni mathematics...hakuna lifestyle mtu anayoishi ambayo ni mpya...EVER..NEVER.. JINSI UNAVYOISHI...KUNA WATU WANAISHI NA WAMESHA ISHI KAMA WEWE....

kutokana na hili...ni rahisi (kwa msaada wa technolojia) kujua your probable future...everything's is statistics..statistics is everything . 🙂 haiitaji uchawi wala uganga.
Hahahhahahaha sio kwa mawe haya lol,uwage na huruma jmn
 
Kuna stori nimeona sehemu eti mke amekwenda kushtaki kwa moja ya acc za udaku huko insta eti karogewa mumewe hadi kamkimbia yuko na huyo binti.

Yaani mijanamke ya aina hii mimi sielewi hata kidogo, hivi kwanini unagombana na mwanamke mwenzako kisa mwanaume? Kwani huyo mwanaume ni nani mpk anagombaniwa? Si binadamu tu kama viumbe wengine?

Hivi ndo kukosa self worth ama kitu gani? Simtetei alieharibu ndoa ya watu Ila mimi napatwa na hasira na mke anae lia lia eti mumewe kamkimbia,ujinga huo.

Siku wanawake watajifunza kua na self worth na kujali hadhi zao upuuzi wa kulilia wanaume na kuwafanya miungu watu utaisha kwenye dunia.Wanawake don't settle for less, he left mwache aendee tenaa mkimbize don't sweat over a human being kama wewe anaeenda chooni kama wewe.

Niwape siri hivi mnajua kwanini viumbe wanaume wanatesa wanawake? Its because sisi tumewaruhusu they say people treat you the way you allow them.

NB:Niko katika mpango kabambe wa kukumbusha wanawake umuhimu wao hapa duniani .

Alamsik


'Self worth' my foot! Wanawake kama wewe Mtaishiwa kugongwa tu hadi mzeeke na kuzaa bila ndoa!
 
Mtoa mada ana stress,, kalale mama upunguze machungu
 
Wewe dada kama sio muumini wa dildos basi umetendwa na moyo wako umeweka kutu. Huyo mwanamke kuweka mambo yake insta ni mbaya,ila na wewe hiyo solution uliyoitoa ndiyo mbaya zaidi,huku sio kuwazindua wanawake bali ni kuwapotosha. Kumuelimisha mwanamke ni kuelimisha jamii,na kumpotosha ni kupotosha jamii pia. Wazindue wanawake wa behave kama wanawake na sio kuwavisha ujike-dume.

Haswaaa,niliposoma thread yake nikajua huyu ni muumin wa DILDOS

Hizi dildo zinawapoteza sana
 
Back
Top Bottom