Wanawake hebu tujielewe jamani, kah!

Wanawake hebu tujielewe jamani, kah!

mmmhhhhhh
Usigune Mamiii

Unajua alivyoandika hapo nimekumbuka ndoa ya mtu hivi jamaa alikuwa ni tajiri balaa sijui ndugu zake wameona wivu wameshampulizia (loga) jamaa hana Kitu .Sasa ukute ana mke mwenye kichwa kama cha mtoa mada hataki changamoto katika ndoa anajua ataishia utadhan ufalme wa Mungu umekuja . Anatanguliza uanamke wakati mume wa mtu amerogwa kweli na kuna ushahidi wa rafiki yake waliokuwa wanaenda kwa mganga..
 
Kuna stori nimeona sehemu eti mke amekwenda kushtaki kwa moja ya acc za udaku huko insta eti karogewa mumewe hadi kamkimbia yuko na huyo binti.

Yaani mijanamke ya aina hii mimi sielewi hata kidogo, hivi kwanini unagombana na mwanamke mwenzako kisa mwanaume? Kwani huyo mwanaume ni nani mpk anagombaniwa? Si binadamu tu kama viumbe wengine?

Hivi ndo kukosa self worth ama kitu gani? Simtetei alieharibu ndoa ya watu Ila mimi napatwa na hasira na mke anae lia lia eti mumewe kamkimbia,ujinga huo.

Siku wanawake watajifunza kua na self worth na kujali hadhi zao upuuzi wa kulilia wanaume na kuwafanya miungu watu utaisha kwenye dunia.Wanawake don't settle for less, he left mwache aendee tenaa mkimbize don't sweat over a human being kama wewe anaeenda chooni kama wewe.

Niwape siri hivi mnajua kwanini viumbe wanaume wanatesa wanawake? Its becouse sisi tumewaruhusu they say people treat you the way you allow them.

NB:Niko katika mpango kabambe wa kukumbusha wanawake umuhimu wao hapa duniani .

Alamsik
Wewe una Mume au ulishawahi kua na Mume unawalaghai wenzako tu?
 
mtoa mada bila shaka nimuumini wa 50/50 kama sio 60/40 .....haki sawa eh....wemaisha ni kutegemeana usiwachuze wanawake wenzako waache waetee ndoa zao au mahusiano yao....au unatumia midolihahahaha JF BURUDANI
 
Amejeruhiwa huyu, so kama kasusa fulani, lakini sirini anajua anayoyasema hayawezekani. Maana hata uwe na kila kitu bado utamhitaji tu huyo mwanaume
 
Mwambie Akamwone Yule jamaa anayekusanya pesa kila msimu ^Mwakasege^
 
My thought exactly


Kuna stori nimeona sehemu eti mke amekwenda kushtaki kwa moja ya acc za udaku huko insta eti karogewa mumewe hadi kamkimbia yuko na huyo binti.

Yaani mijanamke ya aina hii mimi sielewi hata kidogo, hivi kwanini unagombana na mwanamke mwenzako kisa mwanaume? Kwani huyo mwanaume ni nani mpk anagombaniwa? Si binadamu tu kama viumbe wengine?

Hivi ndo kukosa self worth ama kitu gani? Simtetei alieharibu ndoa ya watu Ila mimi napatwa na hasira na mke anae lia lia eti mumewe kamkimbia,ujinga huo.

Siku wanawake watajifunza kua na self worth na kujali hadhi zao upuuzi wa kulilia wanaume na kuwafanya miungu watu utaisha kwenye dunia.Wanawake don't settle for less, he left mwache aendee tenaa mkimbize don't sweat over a human being kama wewe anaeenda chooni kama wewe.

Niwape siri hivi mnajua kwanini viumbe wanaume wanatesa wanawake? Its because sisi tumewaruhusu they say people treat you the way you allow them.

NB:Niko katika mpango kabambe wa kukumbusha wanawake umuhimu wao hapa duniani .

Alamsik
 
watu walikuaga wananiambia hivyo kwamba huo msimamo wangu sitakuja kuolewa, na mbona nimeolewa, na mwanaume alinifahamu na ananifahamu vizuri, tatizo hampendi kuambiwa ukweli


Wanawake kama Wewe Huwa Mnatupa Sana Taabu Wanaume Kuwaoa... Sijui ka Unajua Kunyenyekea Wewe.. au Ushatendwa Huko unamaliza Hasira zako kwa Wanawake woteee

Yaan hata kwenye Ndoa Kweli matatizo yakitokea Sijuo kama utaweza kuhandle kwa U womanizer ulionao
 
Back
Top Bottom