Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,674
- 14,096
- Thread starter
-
- #41
PamojaNakubaliana na wew mleta mada.
Hii ni kutokana na nilipomskia hivi karibuni mmoja wa mabinti wa maeneo Fulani ya uswazi akisimulia shoga zake wawili aliokuwa ameketi nao wakipga soga ya kwamba ndoa atakayoingia hv karibun yeye binafc amepanga kukaa na huyo mumewe mtarajiwa ndani ya miezi mi3 pekee na sio zaid ya hapo, baada ya hapo atarudi nyumbn kwaooo...[emoji848]
Kutokana na maelezo ya dada yule sabab iliyomfanya aolewe na Jamaa huyo maskini ya Mungu, ni ili aweze tu kumtetemesha/kumringishia aliyekua bwana wake wa hapo awali ( ex wake )...
Kusema ukweli kwa maneno Yale niliyomskia akizungumza yule dada yaliniumiza sna nikavuta picha huyo Jamaa wa watu huko alipo anajua kapata mke wa kujenga nae familia kumbe nyuma ya pazia m/mke huyu atageuka kuwa hasara tupu kwake...
Nashauri tu wanaume tusioe kwa mihemko mwsho wa cku itatukosti...
Wanazingua sana hawaKuna mtoto mmoja wa kisimbe simbe
Nilimpenda sana , mzuri sana sema mswahili
Kasoma ana Elimu nzuri ila ndo hivo.
Ishu za ndoa hataki kusikia
Nkasema sawa.
Baadae kazi yangu aliipenda.
Demu mjinga mjinga muache kabla hajakuacha.
Utaumia sana Qumamaque
Sisi kama Wakufunzi kutoka Cuba tupo naoWanazingua sana hawa
🤭Wewe hupendi hayo niliyosema ?
binti kiziwi wewe ndio uliimbwa na Z- Antony kwenye wimbo wake?Can we normalize kutumia neno “Baadhi” Come on!
Kuna sisi tusiopenda, ila zinatupenda…. Na kuna wanaopenda hadi kuzifia!
Kwa sababu ya aibuUONGO! Nenda kwa Mwamposa uone jinsi wanawake wanavyozililia ndoa
Njoo getto unitibuUnaumwa wewe
Hapana sinaga hizo. Sina utaratibu wa kuwakuna wanaume wenzangu. Bado nina Imani wanawake wananitosheleza vizuri kabisa. Unisamehe Sana sihitaji ujinga wa ushogaNjoo getto unitibu
Mimi nimekuambia njoo getto unitibu wewe unawaza ushoga. Kichwa umefungia kabatini ?Hapana sinaga hizo. Sina utaratibu wa kuwakuna wanaume wenzangu. Bado nina Imani wanawake wananitosheleza vizuri kabisa. Unisamehe Sana sihitaji ujinga wa ushoga
Nina kinyaa Sana na wanaume wenzangu. Sikulelewa hivyo.
Ni wanachama wasio na kadiKumbe nao ni kataa ndoa.
binti kiziwi wewe ndio uliimbwa na Z- Antony kwenye wimbo wake?