Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 448
- 752
Sema mzee wa kupambania....kwema?
Hauko vizuri, huo ndio ukweli mtupu.Bro,kwenye swagger tu Nipo vzr….
Atakuja kukupa ushauri mkuuHuyo ndo nani
Hauko vizuri, huo ndio ukweli mtupu.
Kwema mwanawane kuna mwanetu hapo anaomba msaada kama ni pesa, gari, swagger anazo ila mademu wanamringia. Afanyeje?Sema mzee wa kupambania....kwema?
Wee una gundu mwanawane...yaani hadi malaya wanakublock😲😲😲😲Habari za humu wadau,
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 mkazi wa dar es salaam, kiufupi maisha nina kipato cha kati (nina kazi ya mshahara 1m+, gari na nimepanga) yaani tuseme maisha yangu yako Poa. Ila changamoto inakuja mimi kupata mpenzi sijui ninamkosi gani, najaribu kuwatongoza napata na number mara baada ya muda wengine wanakublock with no reason, wengine simu zao hazipatikani hadi leo yaani ili mradi tu nipate shida.
Sasa kuna siku nimeenda mitaa ya sinza kununua wale wadudu (japo sipendi hii tabia) nikapata huduma basi nikachukua namba ya huyo mdada, nikaanza kuchati nae pia anaanza kuniringia. Hadi nimechoka maana hadi malaya ananiringia, wakati ukiniona nina mwonekano mzuri, maisha mazuri halafu naringiwa.
Je, ni mkosi au vipi maana mara ooh wanaume tupo wachache, mara ooh kuwa na pesa utakula mademu mpaka basi ila kwangu sio hivyo.
Nawasilisha.
Mshahara wako utunze vizuri ama lea wazazi wako, hupaswi kupendwa na kila mwanamke hivyo punguza kuwashobokea maana utaoa mmoja tu
Hatari mwanawane...huyu jamaa ana gundu....inakuwaje una gari ukose kula mbususu na mshahara wa more than 1millionKwema mwanawane kuna mwanetu hapo anaomba msaada kama ni pesa, gari, swagger anazo ila mademu wanamringia. Afanyeje?
Wee una gundu mwanawane...yaani hadi malaya wanakublock[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Hii mpya ya mwaka.
Hadi unakula wa barabarani ndio sample ya mke unayemtaka?Huyo wa kuoa anashuka kutoka mtini?
Utakuwa king'ang'anizi na majigambo mengi.
Itakuwa ukipewa namba humpi mtu hata nafasi ya kupumuwa, msg za umekula nyingine, siku hiyo hiyo nakupenda za kumwaga na dedication za nyimbo za Celine Dion, hajakaa sawa ushamwambia mimi nina gari na pesa nyingi (huku shilingi kipande hutumi) hapo lazima upigwe block.
Mapenzi ya kihindi yanatakiwa yasindikizwe na pesa, ile baby umekula inasindikizwa na muamala. Sasa wewe unataka kumchatisha mtu na maswali ya unanipenda kweli, mimi mzuri??, Umelala na wanaume wangapi.
Tumia huo mshahara wa 1m+ kuhonga uone utakavyo gandwa.